Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Baada ya misukoko mikubwa iliyoikumba Chadema tangu baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ni dhairi sasa chama hiki kinafikia mwisho enzi kama hali itaendelea kama ilivyo na kama walivyojiapisha baadhi ya mabwana wakubwa kwamba abadani chama hiki hakitarudi tena kuwawakilisha wananchi bungeni.
Katika mtanziko huu ndipo tunaona NCCR mageuzi ikipata uhai ghafla na kuanza kupasha kuingia uwanjani.
Je, NCCR iko tayari kuchukua nafasi ya CHADEMA katika siasa za upinzani katika uchaguzi wa Oktaba na baada ya siasa za uchaguzi huu wa 2020?
Vijana wa Chadema mko tayari kushirikiana na Mbatia kuirejesha NCCR katika ramani ya kisiasa na kukizika chama chenu rasmi au mtaamua kubutua wote mkose?
ACT tayari imedumaa.
CUF ilishafishwa.
CCM wanachekelea tu.