NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale waganga wa Ngamboshi watamtengenezea dawa ya kutozeeka.Miaka 50 ijayo atakuwa mzee sana kuendelea kutawala.
Kura zisipo pigwa na polisi Ccm inaondolewa madarakani saa sita mchana..
Sent using Jamii Forums mobile app
nccr ni chama makini sana.mbatia yuko smart sana,anajua kujenga hoja,kwenye mambo ya kitaifa uwa anawaweka watu pamoja.
pia nccr akina utamaduni wa kuwachangisha wabunge fedha alafu pesa anazila mtu mmoja.
Nccr wanao uthubutu wa kushiriki kwenye mambo ya kujenga uchumi wa nchi yetu.
nccr inafaa kuchukua dola 2025 kama mbatia atobadilika akawa kama mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app
ni upepo tu ndugu wala akuna mchawiKwanini kilipotea katika ramani baada ya Mrema kuikosa ikulu?
Nasema ndani ya roho yangu kabisa na Mwenyezi Mungu ni shahidi kwamba ukiweka uchaguzi mkuu huru na haki CCM inakuwa chama kikuu cha upinzani.
Wote mnalijua hili na hakuna siri tena..kwamba CDM bara na ACT wazalendo Zanzibar ndiyo wanaunda Serikali ya Jamhuri ya Tanzania .hao NCCR sijui kama wanaweza kupata hata diwani mmoja.
Dola ufipaCHADEMA hawako kwa ajili ya kuwa chama kikuu cha upinzani. Bali CHADEMA wana jiandaa kuchukua dola. Hivyo huwezi fananisha NCCR na CHADEMA maan avina malengo tofauti. Mbatia ambaye jimbo la Vunjo limemshinda na ana ishi Masaki ana sema anataka kuwa chama kikuu cha upinzani. Wao Chadema wana mpango wa kuchukua dola.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes, na hapa ndipo mtihani wa vyama HALISI vya upinzani ulipo... wakifanikiwa hapa tu basi.Kama na wao CCM wanaamini hivyo hakuna siku watukubali uwe huru na wa haki.
AMENNasema ndani ya roho yangu kabisa na Mwenyezi Mungu ni shahidi kwamba ukiweka uchaguzi mkuu huru na haki CCM inakuwa chama kikuu cha upinzani.
Wote mnalijua hili na hakuna siri tena..kwamba CDM bara na ACT wazalendo Zanzibar ndiyo wanaunda Serikali ya Jamhuri ya Tanzania .hao NCCR sijui kama wanaweza kupata hata diwani mmoja.
SAFARI HII, tutakula nao sahani moja. AMENYes, na hapa ndipo mtihani wa vyama HALISI vya upinzani ulipo... wakifanikiwa hapa tu basi.
Na CCM wanajua kuitoa tume huru ya uchaguzi ni sawa na kuikabidhi dola kwa vyama mbadala.
Yuda,Sidhani hata kama mtaruhusiwa kuifikia hiyo sahani,mtabaki mnakodoa macho kwa mbali tu.
Magu anajiandaa sio miaka 50 labda 10.Magufuli ni changer kwenye kila eneo.
Watanzania tunamhitaji kwa miaka 50 ijayo
Chadema wote say yeeeeiiiiyeeeee
NCCR ni kikundi cha mateka wasioejiewa.Magu anajiandaa sio miaka 50 labda 10.
NCCR watakuwa backbenchers mpaka lini?