bulicheka 4
JF-Expert Member
- Mar 22, 2020
- 915
- 1,019
Wagawanye uwatawale lakini yanamwisho mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wagawanye uwatawale lakini yanamwisho mbaya
Nccr kina wabunge wangapi ambao unasema hakiwachangishi?NCCR ni chama makini sana.mbatia yuko smart sana,anajua kujenga hoja,kwenye mambo ya kitaifa uwa anawaweka watu pamoja.
Pia NCCR akina utamaduni wa kuwachangisha wabunge fedha alafu pesa anazila mtu mmoja.
NCCR wanao uthubutu wa kushiriki kwenye mambo ya kujenga uchumi wa nchi yetu.
NCCR inafaa kuchukua dola 2025 kama mbatia atobadilika akawa kama mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app
kabla ya nccr kujiunga na ukawa ilikua na wabunge wanne.
kabla ya nccr kujiunga na ukawa ilikua na wabunge wanne.
baada ya nccr kujiunga na ukawa ikabaki na mbunge 1.
waliokuwa wabunge wa nccr walinunuliwa na lowasa wakajiunga chadema mungu akawalaani wakapigwa chini.
nccr aikuwai kumchangia fedha mwenyekiti na akazitafuna.
katika vyama vyoote ni mbowe tu ndo anawachangisha wabunge fedha bilioni 8 kisha anazitafuna.
Sent using Jamii Forums mobile app
CHADEMA hawako kwa ajili ya kuwa chama kikuu cha upinzani. Bali CHADEMA wana jiandaa kuchukua dola. Hivyo huwezi fananisha NCCR na CHADEMA maan avina malengo tofauti.
Mbatia ambaye jimbo la Vunjo limemshinda na ana ishi Masaki ana sema anataka kuwa chama kikuu cha upinzani. Wao Chadema wana mpango wa kuchukua dola.
Sent using Jamii Forums mobile app