Uchaguzi 2020 NCCR Mageuzi imejiandaa na ipo tayari kuchukua nafasi ya Chadema?

Nccr kina wabunge wangapi ambao unasema hakiwachangishi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nccr kina wabunge wangapi ambao unasema hakiwachangishi?

Sent using Jamii Forums mobile app
kabla ya nccr kujiunga na ukawa ilikua na wabunge wanne.
baada ya nccr kujiunga na ukawa ikabaki na mbunge 1.
waliokuwa wabunge wa nccr walinunuliwa na lowasa wakajiunga chadema mungu akawalaani wakapigwa chini.
nccr aikuwai kumchangia fedha mwenyekiti na akazitafuna.
katika vyama vyoote ni mbowe tu ndo anawachangisha wabunge fedha bilioni 8 kisha anazitafuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lini ulizungumza na Mungu akakuambia aliwalaani wabunge wa NCCR?
 
Sasa wakichukua dola wanataka nani awe mpinzani mkuu kwao CCM?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…