Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Awamu hii ya sita husikiki JF, vipi umeacha mauaji ya wapinzani au sidelined?Mangi Selasini
Kila la heri Mtumishi wa Mungu.
Akirudi nistueAwamu hii ya sita husikiki JF, vipi umeacha mauaji ya wapinzani au sidelined?
Huyo yuko kwenye payroll ya CCM.Mangi Selasini
Kila la heri Mtumishi wa Mungu.
Nimemua baba yako?Awamu hii ya sita husikiki JF, vipi umeacha mauaji ya wapinzani au sidelined?
Wewe upo kwenye payrol ya Ford Gay foundation sio?Huyo yuko kwenye payroll ya CCM.
😝😂😳😝😝Chama cha NCCR – Mageuzi kimemtangaza mwanachama wake Haji Ambar Khamis kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Taifa huku Joseph Selasin akichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa.
Mbali ya uchaguzi wa waili hao kushika hatamu za uongozi pia NCCR – Mageuzi imewatangaza wawili hao kuwa wagombea wenza wa Urais na Makamu wa Rais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Uteuzi wa wawili hao kukiwakilisha chama hicho kwenye uchaguzi huo ulifanyika ukumbi wa Mt. Gasper jijini Dodoma ambapo pia ndipo uchaguzi wa viongozi ulifanyika.
Wakizungumza baada ya kuchaguliwa kushika nyadhifa za juu katika chama hicho, Mwenyekiti ambaye pia ndiye mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama hicho Haji Ambar Khamis amesema “Tutafanya siasa za kistaarabu kwa kulinda na kuzingatia tunu za taifa ili kuwapa taswira ya aina ya uongozi ambao chama chetu unataka kuuweka madarakani pindi tutakaposhinda uchaguzi mkuu”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Naye Makamu Mwenyekiti na mgombea mwenza, Joseph Selasin ameongeza kuwa “Amani, Upendo na Mshikamani ni Tunu za Taifa ambazo ni lazima tuzitunze na kuzienzi kwa nguvu zote ili Tanzania yetu ibaki milele, tukutane Oktoba kwenye Uchaguzi Mkuu”
Wagombea hao pia wameweka wazi dhamira yao ya kushiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba na kuahidi kushirikia na vyama vingine vya siasa nchini katika kuimarisha siasa nchini na kupinga vitendo vya mmonyoka wa maadili.
😅😅😅😅😅😅. Mungu ibariki JFNimemua baba yako?
Nyie kima nyie.
Mna bahati majina yenu feki
Endelea kujificha na Id zako feki.😅😅😅😅😅😅. Mungu ibariki JF
Hii haijazikwa baada Mbatia kuiweka kwenye briefcase yake kwa muda mrefu kabla ya muzimu wake kumtimua?Chama cha NCCR – Mageuzi kimemtangaza mwanachama wake Haji Ambar Khamis kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Taifa huku Joseph Selasin akichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa.
Mbali ya uchaguzi wa waili hao kushika hatamu za uongozi pia NCCR – Mageuzi imewatangaza wawili hao kuwa wagombea wenza wa Urais na Makamu wa Rais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Uteuzi wa wawili hao kukiwakilisha chama hicho kwenye uchaguzi huo ulifanyika ukumbi wa Mt. Gasper jijini Dodoma ambapo pia ndipo uchaguzi wa viongozi ulifanyika.
Wakizungumza baada ya kuchaguliwa kushika nyadhifa za juu katika chama hicho, Mwenyekiti ambaye pia ndiye mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama hicho Haji Ambar Khamis amesema “Tutafanya siasa za kistaarabu kwa kulinda na kuzingatia tunu za taifa ili kuwapa taswira ya aina ya uongozi ambao chama chetu unataka kuuweka madarakani pindi tutakaposhinda uchaguzi mkuu”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Naye Makamu Mwenyekiti na mgombea mwenza, Joseph Selasin ameongeza kuwa “Amani, Upendo na Mshikamani ni Tunu za Taifa ambazo ni lazima tuzitunze na kuzienzi kwa nguvu zote ili Tanzania yetu ibaki milele, tukutane Oktoba kwenye Uchaguzi Mkuu”
Wagombea hao pia wameweka wazi dhamira yao ya kushiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba na kuahidi kushirikia na vyama vingine vya siasa nchini katika kuimarisha siasa nchini na kupinga vitendo vya mmonyoka wa maadili.
Mimi siyo dhaifu kiasi hicho. Take it that way.Endelea kujificha na Id zako feki.
Soon nitakua mmlilki mwenza wa Jf nitafika mpaka kitandani kwako na mke kima wewe
R I P Thadei Ole Mushi.Awamu hii ya sita husikiki JF, vipi umeacha mauaji ya wapinzani au sidelined?
piha za hao so called wenyevitiChama cha NCCR – Mageuzi kimemtangaza mwanachama wake Haji Ambar Khamis kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Taifa huku Joseph Selasin akichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa.
Mbali ya uchaguzi wa waili hao kushika hatamu za uongozi pia NCCR – Mageuzi imewatangaza wawili hao kuwa wagombea wenza wa Urais na Makamu wa Rais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Uteuzi wa wawili hao kukiwakilisha chama hicho kwenye uchaguzi huo ulifanyika ukumbi wa Mt. Gasper jijini Dodoma ambapo pia ndipo uchaguzi wa viongozi ulifanyika.
Wakizungumza baada ya kuchaguliwa kushika nyadhifa za juu katika chama hicho, Mwenyekiti ambaye pia ndiye mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama hicho Haji Ambar Khamis amesema “Tutafanya siasa za kistaarabu kwa kulinda na kuzingatia tunu za taifa ili kuwapa taswira ya aina ya uongozi ambao chama chetu unataka kuuweka madarakani pindi tutakaposhinda uchaguzi mkuu”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Naye Makamu Mwenyekiti na mgombea mwenza, Joseph Selasin ameongeza kuwa “Amani, Upendo na Mshikamani ni Tunu za Taifa ambazo ni lazima tuzitunze na kuzienzi kwa nguvu zote ili Tanzania yetu ibaki milele, tukutane Oktoba kwenye Uchaguzi Mkuu”
Wagombea hao pia wameweka wazi dhamira yao ya kushiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba na kuahidi kushirikia na vyama vingine vya siasa nchini katika kuimarisha siasa nchini na kupinga vitendo vya mmonyoka wa maadili.
Jibu hoja, umeacha mauaji ya wapinzani?Nimemua baba yako?
Nyie kima nyie.
Mna bahati majina yenu feki