Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,359
- 5,329
Niliua Mama yako?Jibu hoja, umeacha mauaji ya wapinzani?

Shetani mweusi weweR I P Thadei Ole Mushi.
Ataambulia kitu hukoMbatia to CHADEMA.
Hayo ni mashina ya CCMWanataka kufanya nini kwa mfano?
Kumbe mwamba ni kimeo?Jibu hoja, umeacha mauaji ya wapinzani?
Shetani mkubwa unaua watu kwa ujira wa vijisenti!Niliua Mama yako?
Ni Mwehu mpumbavu! Wehu wenzie wanaokota makopo yeye analamba matapishi ya watawala uchwara!Kumbe mwamba ni kimeo?
Na kichaa Lissu amewaharibu akili kabisaTawi la CCM, chama hakiwezi kupata hata diwani mmoja
Hongera kada wa mbogamboga!Ni afadhali kuiunga mkono NCCR MAGEUZI KULIKO CHANDUMU.
Unataman kupakatwa Dogo.Shetani mkubwa unaua watu kwa ujira wa vijisenti!
Shame on you!
Shame!
Hivi hawa watu walishawahi kufanya hata mkutano wa hadhara?Chama cha NCCR – Mageuzi kimemtangaza mwanachama wake Haji Ambar Khamis kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Taifa huku Joseph Selasin akichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa.
Mbali ya uchaguzi wa waili hao kushika hatamu za uongozi pia NCCR – Mageuzi imewatangaza wawili hao kuwa wagombea wenza wa Urais na Makamu wa Rais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Uteuzi wa wawili hao kukiwakilisha chama hicho kwenye uchaguzi huo ulifanyika ukumbi wa Mt. Gasper jijini Dodoma ambapo pia ndipo uchaguzi wa viongozi ulifanyika.
Wakizungumza baada ya kuchaguliwa kushika nyadhifa za juu katika chama hicho, Mwenyekiti ambaye pia ndiye mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama hicho Haji Ambar Khamis amesema “Tutafanya siasa za kistaarabu kwa kulinda na kuzingatia tunu za taifa ili kuwapa taswira ya aina ya uongozi ambao chama chetu unataka kuuweka madarakani pindi tutakaposhinda uchaguzi mkuu”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Naye Makamu Mwenyekiti na mgombea mwenza, Joseph Selasin ameongeza kuwa “Amani, Upendo na Mshikamani ni Tunu za Taifa ambazo ni lazima tuzitunze na kuzienzi kwa nguvu zote ili Tanzania yetu ibaki milele, tukutane Oktoba kwenye Uchaguzi Mkuu”
Wagombea hao pia wameweka wazi dhamira yao ya kushiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba na kuahidi kushirikia na vyama vingine vya siasa nchini katika kuimarisha siasa nchini na kupinga vitendo vya mmonyoka wa maadili.
Hongera chama kikuu cha upinzaniChama cha NCCR – Mageuzi kimemtangaza mwanachama wake Haji Ambar Khamis kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Taifa huku Joseph Selasin akichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa.
Mbali ya uchaguzi wa waili hao kushika hatamu za uongozi pia NCCR – Mageuzi imewatangaza wawili hao kuwa wagombea wenza wa Urais na Makamu wa Rais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Uteuzi wa wawili hao kukiwakilisha chama hicho kwenye uchaguzi huo ulifanyika ukumbi wa Mt. Gasper jijini Dodoma ambapo pia ndipo uchaguzi wa viongozi ulifanyika.
Wakizungumza baada ya kuchaguliwa kushika nyadhifa za juu katika chama hicho, Mwenyekiti ambaye pia ndiye mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama hicho Haji Ambar Khamis amesema “Tutafanya siasa za kistaarabu kwa kulinda na kuzingatia tunu za taifa ili kuwapa taswira ya aina ya uongozi ambao chama chetu unataka kuuweka madarakani pindi tutakaposhinda uchaguzi mkuu”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Naye Makamu Mwenyekiti na mgombea mwenza, Joseph Selasin ameongeza kuwa “Amani, Upendo na Mshikamani ni Tunu za Taifa ambazo ni lazima tuzitunze na kuzienzi kwa nguvu zote ili Tanzania yetu ibaki milele, tukutane Oktoba kwenye Uchaguzi Mkuu”
Wagombea hao pia wameweka wazi dhamira yao ya kushiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba na kuahidi kushirikia na vyama vingine vya siasa nchini katika kuimarisha siasa nchini na kupinga vitendo vya mmonyoka wa maadili.
🐷🐷🐷Unataman kupakatwa Dogo.
Nakupa onyo la mwisho na Id yako feki
Kwanini dada angu?Na kichaa Lissu amewaharibu akili kabisa
🐕🐕🐕Na kichaa Lissu amewaharibu akili kabisa
Nimemua baba yako?
Nyie kima nyie.
Mna bahati majina yen
Nimemua baba yako?
Nyie kima nyie.
Mna bahati majina yenu feki