Tetesi: NCCR - MAGEUZI kuitisha Mkutano Mkuu ili kutangaza kumuunga mkono Mgombea Urais wa CCM 2020

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Inasemekana haya ni moja ya Makubaliano yaliyofikiwa kutokana na vikao vilivyofanyika Ikulu kati ya Mwenyekiti wa CCM na James Mbatia, Nipe nikupe!

Sasa kwa vile kikao hiki kitaitishwa hadharani basi tuendelee kusubiri na kujionea maajabu yaliyochanganyika na aibu .

Ilianza TLP , sasa NCCR- MAGEUZI , Je itafuatia CUF ?

Tunawatakia kila la heri .
 
Dalili ya mvua ni mawingu. TLP, NCCR, CUF, kwa sasa siyo vyama. Ni VIRUSI
 
Mbatia anatumika kama Lipumba

ila baada ya uchaguzi utamsikia akijilizaliza na kujifariji "oohh Baba Tanzania amemsaliti Mama Tanzania.!

oohh bado $ijatimiziwa ahadi ya kuwa chama kikuu...hata hela yenyewe ya usajili nimepewa robo!!

times will tell..
 
Ni jambo jema!
 
Hakuna shida, mbona 2015 Chadema ilimsimamisha Mgombea Urais kutoka CCM na Mzee Mwinyi kwenye uzinduzi wa Kampen Jangwani akafichua siri kuwa safari ile CCM wana wagombea wawili akawapa herufi A na B akashauri tumchague wa CCM A!
 
Hakuna shida, mbona 2015 Chadema ilimsimamisha Mgombea Urais kutoka Ccm na Mzee Mwinyi kwenye uzinduzi wa Kampen Jangwani akafichua siri kuwa safari ile Ccm wana wagombea wawili akawapa herufi A na B akashauri tumchague wa Ccm A!
Sipati picha kwa Joseph Selasini kuanza kumnadi mgombea wa ccm !
 
Na CUF wako njiani kuunga juhudi mkono

 
CCM, NCCR, CUF, TLP vs CHADEMA polisi wakiwa likizo CHADEMA anachukua kombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…