Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hiyo inaitwa KULA ULIWE.
Inasemekana haya ni moja ya Makubaliano yaliyofikiwa kutokana na vikao vilivyofanyika Ikulu kati ya Mwenyekiti wa ccm na James Mbatia , Nipe nikupe !
Sasa kwa vile kikao hiki kitaitishwa hadharani basi tuendelee kusubiri na kujionea maajabu yaliyochanganyika na aibu .
ilianza TLP , sasa NCCR- MAGEUZI , je itafuatia CUF ?
Tunawatakia kila la heri .