Tetesi: NCCR - MAGEUZI kuitisha Mkutano Mkuu ili kutangaza kumuunga mkono Mgombea Urais wa CCM 2020

Si afadhali ya kirusi unaweza pona kama kirusi cha Corona. Sasa hiyo saccos ya chadema mtatokaje hapo Jomba.
Kipimo pekee cha kujua CHADEMA itatokaje, ni Magufuli kushinda hofu yake, ajikaze kiume, asiingilie uchaguzi ili uwe huru na haki. Yaani kama CHADEMA ikitoka chali, hapo nitakubali. Lakini hata sioni dalili ya Magufuli kushinda hofu na woga alionao.
 
NCCR watakuwa wajinga sana kukubali hivyo. Yaani Mbatia kavuita mkwanja wa kufa mtu, na hao wajumbe watakusanyika kumtilia ubani. Kweli hiyo???
Rushwa ni nini kisheria?Hiyo siyo rushwa?Nani wa kumfunga paka kengele?TAKUKURU wanachunguza ufisadi wa michango ya wabunge waliokuwa CDM kabla ya kuhamishiwa NCCR+CUF.Haya yanatakiwa kuingia katika World Wonders.Rushwa ya kidola.
 
Inasemekana haya ni moja ya Makubaliano yaliyofikiwa kutokana na vikao vilivyofanyika Ikulu kati ya Mwenyekiti wa ccm na James Mbatia , Nipe nikupe !

Sasa kwa vile kikao hiki kitaitishwa hadharani basi tuendelee kusubiri na kujionea maajabu yaliyochanganyika na aibu .

ilianza TLP , sasa NCCR- MAGEUZI , je itafuatia CUF ?

Tunawatakia kila la heri .
Wachaga wamekengeuka...(mtazamo tu).

semper fidelis
 
Upinzani FAKE!!

Ramli chonganishi hii. Mbatia alienda ikulu siku zimepita nyingi Leo unakuja na habari eti inasemekana, tuambie inasemekana na Nani? Kwanini nyie chadema wazushi hivyo? Kama mnaona chama kimekosa mwelekeo msianze kutafuta mchawi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu taarifa huwa zinavuja kwa mafungu
 
Siyo CCM tu bali ni kuking'oa chama tawala popote pale ni kazi ngumu sana. Lakini bado vyama vya upinzani vipo tu vinatafuta kukubalika kwa wapiga kura na mwisho wa siku wanafanikiwa kuving'oa hivyo vyama tawala.
Kusema ukweli Kuingoa CCM kwa Mfumo uliyopo
Ni ngumu sana mkuu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Kusema ukweli Kuingoa ccm kwa Mfumo uliyopo
Ni ngumu sana mkuu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mbele ya Mungu Mungu hakuna kinachoshindikana

A dreamer be the one  A winner be the one  A fighter be the one.jpg
 
Inasemekana haya ni moja ya Makubaliano yaliyofikiwa kutokana na vikao vilivyofanyika Ikulu kati ya Mwenyekiti wa ccm na James Mbatia , Nipe nikupe !

Sasa kwa vile kikao hiki kitaitishwa hadharani basi tuendelee kusubiri na kujionea maajabu yaliyochanganyika na aibu .

ilianza TLP , sasa NCCR- MAGEUZI , je itafuatia CUF ?

Tunawatakia kila la heri .
Ulitegemea nini baada ya mwenyekiti wa CCM kumsifia mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi hadharani? Contract signed!
 
Kipimo pekee cha kujua CHADEMA itatokaje, ni Magufuli kushinda hofu yake, ajikaze kiume, asiingilie uchaguzi ili uwe huru na haki. Yaani kama CHADEMA ikitoka chali, hapo nitakubali. Lakini hata sioni dalili ya Magufuli kushinda hofu na woga alionao.
Swadakta
 
Back
Top Bottom