SawaUongozi wa kuongoza makondoo una shida gani boss? Unataka kufanya kuongoza ni jambo gumu sana. Ukiona mtu anasema kuongoza ni kugumu ujue kaingia kwenye madaraka kwa kushurutisha ili kusaka ulaji, lakini hana Karama ya uongozi.
IlaHahahaa haiwezi tokea huo ni ukweli tu
Sina Chama
Sina Chama
CCM ilishushwa toka mbinguni au ni kikundi cha wa chache kilichoanzisha chama cha TAA baadaye kikajigeuza kama kinyonga na kujita TANU,?Ni Bora ukaicha CCM hii mbovu kuliko Chama Cha mtu mmoja anaejiita kiongozi mkuu wa Chama yaani haguswi
Habari wana JF ,Najua vijana wa CHADEMA hawatafurahishwa sana ila ukweli ni kuna vya viwili vyenye uwezo na vigezo vya kuongoza Nchi ambavyo ni CCM na NCCR Mageuzi .
Hivi vyama vina sifa kuu Moja na Vyama vya wananchi tofauti vyama vingine ni vya mtu au kikundi Cha watu hivyo ni Hatari kumkabidhi mtu au kikundi Cha watu Nchi .
Hivyo Mbali na Mapungufu na Umaskini Mkubwa tulio upata Chini ya CCM ,bado ni Chama chenye uafadhali kuliko vingine .
Kama itatokea NCCR Mageuzi watajipanga vizuri ni Bora wakapewa Nchi tukaondokana na huu Utawala Mbovu wa CCM na sio vyama vingine vilivyopo kwa sasa .
Ni Bora ukaicha CCM hii mbovu kuliko Chama Cha mtu mmoja anaejiita kiongozi mkuu wa Chama yaani haguswi
Mtu hataki kutoka kwenye chama chake as if yeye pekee ndio ana uwezo wa kuongoza Nchi .View attachment 2283567
Kijana Uongozi si sawa na kwenda chooni kujisaidia kwamba kila mtu anaenda ni mgumu sana .
Watu wengi sio mtu mmojaCCM ilishushwa toka mbinguni au ni kikundi cha wa chache kilichoanzisha chama cha TAA baadaye kikajigeuza kama kinyonga na kujita TANU,?
Unasema CHADEMA ?Kwa hivyo CCM Wana karma ya uongozi? Chama bado kinategrmea kutembeza bakuli ili kipate maendeleo.
Anaaminiwa au anaogopwa ?Hataki kutoka au huwa anachaguliwa. Mbowe anaaminiwa na wanachama wengi, maana ndiye aliyeleta Mapinduzi CHADEMA.
Akili yako ndogo, nayo uneamua kuipa likizo ndefu, pole sanaHabari wana JF ,Najua vijana wa CHADEMA hawatafurahishwa sana ila ukweli ni kuna vya viwili vyenye uwezo na vigezo vya kuongoza Nchi ambavyo ni CCM na NCCR Mageuzi .
Hivi vyama vina sifa kuu Moja na Vyama vya wananchi tofauti vyama vingine ni vya mtu au kikundi Cha watu hivyo ni Hatari kumkabidhi mtu au kikundi Cha watu Nchi .
Hivyo Mbali na Mapungufu na Umaskini Mkubwa tulio upata Chini ya CCM ,bado ni Chama chenye uafadhali kuliko vingine .
Kama itatokea NCCR Mageuzi watajipanga vizuri ni Bora wakapewa Nchi tukaondokana na huu Utawala Mbovu wa CCM na sio vyama vingine vilivyopo kwa sasa .
Mkuu karibu NCCRAkili yako ndogo, nayo uneamua kuipa likizo ndefu, pole sana