Mtondoli
Member
- Nov 9, 2021
- 70
- 174
Eti wamezira ,sababu kubwa walitaka waende peke yao au walitaka yule wanaemuona adui yao yeye asiwepo(ccm)au walitaka afungwe mikono na miguu ndio waende,au wapewe upendeleo wakupigiwa magoti ndio waende,au kwasababu mbowe yupo segerea,,yalaaa,,wakati mwingine walihisi kwamba ni mkutano wa rais kwa hiyo wao ni wasikilizaji tu,sio kweli,mnaikosea heshima demokrasia,na mnajinyima nafasi ya kutoa ya moyoni ,huo ni uoga wa kiwango Cha juu Sana watu wazima hawakimbii mapambano Bali wanafia kwenye uwanja wa Vita mechi ya nyumbani chezeni lakini pia msiogope mechi za ugenini💘