NCCR Mageuzi watoa msimamo wa chama juu ya Uchaguzi Mkuu

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,522
Reaction score
37,398
3 November 2020
Ofisi ya Makao Makuu
Chama cha NCCR-MAGEUZI
Dar- es Salaam, Tanzania

#LIVE NCCR MAGEUZI WATOA MSIMAMO WA CHAMA JUU YA UCHAGUZI MKUU​

NCCR-MAGEUZI ina uthibitisho kuwa mchakato mzima wa uchaguzi kuanzia matayarisho na maandalizi ya usimamizi wa uchaguzi ngazi za wakurugenzi wa wilaya / halmashauri , siku ya kupiga kura na utangazaji wa matokeo ya uchaguzi mkuu kuwa zoezi zima lilivurugwa na hivyo uchaguzi haukuwa wa haki, huru wala halali.

=====

Chama cha NCCR Mageuzi kimesema matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020 hayawezi kuhalalisha aliyeshinda na aliyeshindwa kwa sababu mchakato ulivurugika.

Chama hicho kimedai mchakato huo ulikuwa na makando kando mengi kuanzia mwanzo hadi mwisho, jambo lililovuruga uchaguzi na kufanya matokeo yake kutokuwa halali.

Hata hivyo, jana Jumatatu Novemba 2, 2020 mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk Wilson Mahera alipoulizwa kuhusu malalamiko kuhusu uchaguzi huo, alisema umeshakwisha lakini anajua kuwa kila mtu anazungumza la kwake.

NCCR imeeleza hayo leo Jumanne Novemba 3, na Mkuu wa Idara ya Uenezi na Mahusiano ya Umma wa chama hicho, Edward Simbeye wakati akitoa msimamo wa chama kuhusu matokeo ya uchaguzi huo.

Amesema NCCR Mageuzi ilikuwa ya kwanza kuwasiliana na tume kwa nyaraka juu ya mchakato na mwenendo wa uchaguzi kabla ya siku ya kupiga kura, huku wakitoa tahadhari juu ya mwenendo wa wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi.

“Tuliyokuwa tunayasema ndiyo yametokea, kituo kama Kawe mgombea wetu wa ubunge hata kura yake haipo, ukienda katika majumuisho jioni alikuwa ana kura sifuri, Vunjo robo tatu ya mawakala hawakuingia katika vituo hadi ilipofika saa sita.

“Biafra jimbo la Kinondoni hakuna wakala aliyeruhisiwa kuingia katika kituo, hivyo kuna mambo mengi ambayo yanapelekea matokeo ya uchaguzi kutokuwa halali,” amesema.

Akizungumzia kitendo cha mgombea wao wa urais kuunga mkono matokeo ya uchaguzi huo, alisema kama chama kimekuwa kikiendeshwa kwa kufuata katiba ya chama.

“Hivi karibuni kumekuwa na sintofahamu kuwa chama cha NCCR Mageuzi tumekubaliana na matokeo, mwanachama mmoja anaweza kusema kauli ambayo si ya vikao vya chama, hivyo hauwezi kuwa msimamo wa chama na hautakuwa msimamo wa chama.

“Msimamo wa chama ni kuwa matokeo ya uchaguzi hayawezi kuwa halali kwa sababu mchakato wote wa uchaguzi ulikuwa na matatizo ya kutokufauata kanuni na taratibu tulizojiwekea za uchaguzi,” amesema.
 
NCCR-MAGEUZI ina uthibibisho kuwa mchakato mzima wa uchaguzi kuanzia matayarisho na maandalizi ya usimamizi wa uchaguzi ngazi za wakurugenzi wa wilaya / halmashauri , siku ya kupiga kura na utangazaji wa matokeo ya uchaguzi mkuu kuwa zoezi zima lilivurugwa na hivyo uchaguzi haukuwa wa haki, huru wala halali

Mbatia aliitwa Ikulu akajiona Mjaaaanja, akaanza kuwatukana CHADEMA,akaenda Mbeya na kukaribishwa na yule Walu Walu wa Mbeya, eti kupokea Wanachama wapya kutoka CHADEMA.
Akajiona ndio kishakuwa KUB.
 
Attachments

  • VID-20201103-WA0000.mp4
    919.5 KB

Mbatia alipotoka Ikulu alijiona kuwa yeye ni tayari KUB! Akaanza hata kuwashodoa wapinzani wenzake kwa kuamini kuwa chama chake kinaenda kuwa chama kikuu cha upinzani!

Kweli ana hali ngumu sana kwani hawezi sema hadharani ulaghai wa Magu kwake na pia hawezi unganisha nguvu na wenzake wa Chadema & ACT
 
3 November 2020
Ofisi ya Makao Makuu
Chama cha NCCR-MAGEUZI
Dar- es Salaam, Tanzania

#LIVE NCCR MAGEUZI WATOA MSIMAMO WA CHAMA JUU YA UCHAGUZI MKUU​

NCCR-MAGEUZI ina uthibibisho kuwa mchakato mzima wa uchaguzi kuanzia matayarisho na maandalizi ya usimamizi wa uchaguzi ngazi za wakurugenzi wa wilaya / halmashauri , siku ya kupiga kura na utangazaji wa matokeo ya uchaguzi mkuu kuwa zoezi zima lilivurugwa na hivyo uchaguzi haukuwa wa haki, huru wala halali.

Mgombea wenu wa Urais amekiri kuwa uchaguzi ulikuwa wa huru na haki. nyie mnaongea utumbo gani? imeisha hiyooooooo
 
Chama cha NCCR Mageuzi kimesema matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020 hayawezi kuhalalisha aliyeshinda na aliyeshindwa kwa sababu mchakato ulivurugika.

Chama hicho kimedai mchakato huo ulikuwa na makando kando mengi kuanzia mwanzo hadi mwisho, jambo lililovuruga uchaguzi na kufanya matokeo yake kutokuwa halali.

Hata hivyo, jana Jumatatu Oktoba 2, 2020 mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk Wilson Mahera alipoulizwa kuhusu malalamiko kuhusu uchaguzi huo, alisema umeshakwisha lakini anajua kuwa kila mtu anazungumza la kwake.

NCCR imeeleza hayo leo Jumanne Novemba 3, na Mkuu wa Idara ya Uenezi na Mahusiano ya Umma wa chama hicho, Edward Simbeye wakati akitoa msimamo wa chama kuhusu matokeo ya uchaguzi huo.

Amesema NCCR Mageuzi ilikuwa ya kwanza kuwasiliana na tume kwa nyaraka juu ya mchakato na mwenendo wa uchaguzi kabla ya siku ya kupiga kura, huku wakitoa tahadhari juu ya mwenendo wa wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi.

“Tuliyokuwa tunayasema ndiyo yametokea, kituo kama Kawe mgombea wetu wa ubunge hata kura yake haipo, ukienda katika majumuisho jioni alikuwa ana kura sifuri, Vunjo robo tatu ya mawakala hawakuingia katika vituo hadi ilipofika saa sita.

“Biafra jimbo la Kinondoni hakuna wakala aliyeruhisiwa kuingia katika kituo, hivyo kuna mambo mengi ambayo yanapelekea matokeo ya uchaguzi kutokuwa halali,” amesema.

Akizungumzia kitendo cha mgombea wao wa urais kuunga mkono matokeo ya uchaguzi huo, alisema kama chama kimekuwa kikiendeshwa kwa kufuata katiba ya chama.

“Hivi karibuni kumekuwa na sintofahamu kuwa chama cha NCCR Mageuzi tumekubaliana na matokeo, mwanachama mmoja anaweza kusema kauli ambayo si ya vikao vya chama, hivyo hauwezi kuwa msimamo wa chama na hautakuwa msimamo wa chama.

“Msimamo wa chama ni kuwa matokeo ya uchaguzi hayawezi kuwa halali kwa sababu mchakato wote wa uchaguzi ulikuwa na matatizo ya kutokufauata kanuni na taratibu tulizojiwekea za uchaguzi,” amesema.
 
Umoja wetu ndiyo nguvu yetu. Hakuna kulala mpaka haki na uhuru wa kweli unapatikana.
 
3 November 2020
Ofisi ya Makao Makuu
Chama cha NCCR-MAGEUZI
Dar- es Salaam, Tanzania

#LIVE NCCR MAGEUZI WATOA MSIMAMO WA CHAMA JUU YA UCHAGUZI MKUU​

NCCR-MAGEUZI ina uthibibisho kuwa mchakato mzima wa uchaguzi kuanzia matayarisho na maandalizi ya usimamizi wa uchaguzi ngazi za wakurugenzi wa wilaya / halmashauri , siku ya kupiga kura na utangazaji wa matokeo ya uchaguzi mkuu kuwa zoezi zima lilivurugwa na hivyo uchaguzi haukuwa wa haki, huru wala halali.

Mgombea wa urais wa NCCR anasema uchaguzi ulikuwa huru na haki, chama kinakuja na tamko tofauti kabisa na pambio la mgombea!
 
Mgombea wenu wa Urais amekiri kuwa uchaguzi ulikuwa wa huru na haki. nyie mnaongea utumbo gani? imeisha hiyooooooo
Nilishangaa sana chama kumtangaza/kumpigia kampeni mgombea ubunge wa vunjo kwenye kila taarifa iliyokua inaletwa humu na chama na kumuacha mgombea urais.
 
Sawa kabisa jiwe sio rais halali anatutawala kipolisi.
 
Mbatia aliitwa Ikulu akajiona Mjaaaanja, akaanza kuwatukana CHADEMA,akaenda Mbeya na kukaribishwa na yule Walu Walu wa Mbeya, eti kupokea Wanachama wapya kutoka CHADEMA.
Akajiona ndio kishakuwa KUB..
😆😆😆
 
3 November 2020
Ofisi ya Makao Makuu
Chama cha NCCR-MAGEUZI
Dar- es Salaam, Tanzania

#LIVE NCCR MAGEUZI WATOA MSIMAMO WA CHAMA JUU YA UCHAGUZI MKUU​

NCCR-MAGEUZI ina uthibitisho kuwa mchakato mzima wa uchaguzi kuanzia matayarisho na maandalizi ya usimamizi wa uchaguzi ngazi za wakurugenzi wa wilaya / halmashauri , siku ya kupiga kura na utangazaji wa matokeo ya uchaguzi mkuu kuwa zoezi zima lilivurugwa na hivyo uchaguzi haukuwa wa haki, huru wala halali.

=====

Chama cha NCCR Mageuzi kimesema matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020 hayawezi kuhalalisha aliyeshinda na aliyeshindwa kwa sababu mchakato ulivurugika.

Chama hicho kimedai mchakato huo ulikuwa na makando kando mengi kuanzia mwanzo hadi mwisho, jambo lililovuruga uchaguzi na kufanya matokeo yake kutokuwa halali.

Hata hivyo, jana Jumatatu Novemba 2, 2020 mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk Wilson Mahera alipoulizwa kuhusu malalamiko kuhusu uchaguzi huo, alisema umeshakwisha lakini anajua kuwa kila mtu anazungumza la kwake.

NCCR imeeleza hayo leo Jumanne Novemba 3, na Mkuu wa Idara ya Uenezi na Mahusiano ya Umma wa chama hicho, Edward Simbeye wakati akitoa msimamo wa chama kuhusu matokeo ya uchaguzi huo.

Amesema NCCR Mageuzi ilikuwa ya kwanza kuwasiliana na tume kwa nyaraka juu ya mchakato na mwenendo wa uchaguzi kabla ya siku ya kupiga kura, huku wakitoa tahadhari juu ya mwenendo wa wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi.

“Tuliyokuwa tunayasema ndiyo yametokea, kituo kama Kawe mgombea wetu wa ubunge hata kura yake haipo, ukienda katika majumuisho jioni alikuwa ana kura sifuri, Vunjo robo tatu ya mawakala hawakuingia katika vituo hadi ilipofika saa sita.

“Biafra jimbo la Kinondoni hakuna wakala aliyeruhisiwa kuingia katika kituo, hivyo kuna mambo mengi ambayo yanapelekea matokeo ya uchaguzi kutokuwa halali,” amesema.

Akizungumzia kitendo cha mgombea wao wa urais kuunga mkono matokeo ya uchaguzi huo, alisema kama chama kimekuwa kikiendeshwa kwa kufuata katiba ya chama.

“Hivi karibuni kumekuwa na sintofahamu kuwa chama cha NCCR Mageuzi tumekubaliana na matokeo, mwanachama mmoja anaweza kusema kauli ambayo si ya vikao vya chama, hivyo hauwezi kuwa msimamo wa chama na hautakuwa msimamo wa chama.

“Msimamo wa chama ni kuwa matokeo ya uchaguzi hayawezi kuwa halali kwa sababu mchakato wote wa uchaguzi ulikuwa na matatizo ya kutokufauata kanuni na taratibu tulizojiwekea za uchaguzi,” amesema.

Huyu bwana kaongea vizuri ila solution ni moja tu kurudia uchaguzi,pili viongozi wote wa upinzani kuachiwa Mara moja,hakuna Cha ugaidi hapa
Wala meza ya mazungumzo bila kuvunja uchaguzi huu
 
Umoja wetu ndiyo nguvu yetu. Hakuna kulala mpaka haki na uhuru wa kweli unapatikana.
Bundle lako tuu ukiamua unaweza kukesha mwaka mzima ila huko barabarani tuyaache magari tu yatembee.

Wananchi wapo busy kufanya MAENDELEO.

Uchaguzi umeisha sasa tuijenge NCHI.

URT - JPM
SMZ- Mwinyi

CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Back
Top Bottom