Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Mama Tanzania naye joto amelipataHuyu bwana kaongea vizuri ila solution ni moja tu kurudia uchaguzi,pili viongozi wote wa upinzani kuachiwa Mara moja,hakuna Cha ugaidi hapa
Wala meza ya mazungumzo bila kuvunja uchaguzi huu
90% wanashangaa hata waoHivi karibuni tutawasikia wana ccm wakilalamika pia, bado wapo wanaccm waugwana wanaoamini katika umoja na ustawi wa taifa letu.
hujawasiakia Polepole akisema Chadema walikuwa na kura feki?Hivi karibuni tutawasikia wana ccm wakilalamika pia, bado wapo wanaccm waugwana wanaoamini katika umoja na ustawi wa taifa letu.
Maalim alisandaLipumba,Maalim na Mbatia waliitwa ikulu kipindi cha Corona wakapigwa tobo na JPM.
Kutokulala nyuma ya keyboard au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umoja wetu ndiyo nguvu yetu. Hakuna kulala mpaka haki na uhuru wa kweli unapatikana.
CCM ilikiwa na Wagombea Urais zaidi ya 5.Mgombea wa urais wa NCCR anasema uchaguzi ulikuwa huru na haki, chama kinakuja na tamko tofauti kabisa na pambio la mgombea!