Nchi 10 za Afrika zenye huduma bora za Polisi, Tanzania haipo

Nchi 10 za Afrika zenye huduma bora za Polisi, Tanzania haipo

Ripoti ya Afrobarometer iliyochapishwa hivi karibuni, imebaini kuwa huduma za polisi barani Afrika zinakabiliwa na changamoto kubwa za uadilifu na weledi, huku asilimia ndogo ya raia wakiridhika na utendaji wa vyombo hivyo vya usalama.
View attachment 3168156
Kwa mujibu wa ripoti hiyo iliyokusanya maoni ya raia kati ya mwaka 2021 na 2023, ni mmoja tu kati ya Waafrika watatu anayesema anaridhishwa na utendaji wa polisi.

Kwenye list hii hakuna nchi yoyote ya Afrika Mashariki, tazama;

1. Botswana
2. Afrika Kusini
3. Benin
4. Tunisia
5. Senegal
6. Sao Tome na Principe
7. Seychelles
8. Ghana
9. Cape Verde
10. Lesotho

Chanzo: Business Insider Afrika
Ila haishangazi sana kama TZ ingekuwepo maana dunia yote imemeng'enyuka hata tuzo za udaktari kwa viongozi wetu zinatoka huko ughaibuni huku sisi wahusika tukishangaa wametuzwaje!
 
police wengi tz wanapenda sana fedha kuliko utu sijui nini? Yaani polisi wengi bongo kiualisia are criminals in police uniforms ingawa wapo wazuri, lakini walio wengi ukiingia kwenye 18 zao utaichukia ccm
Polisi bongo wakijuwa una mpunga lazima waje wakutemeshe

Ova 😄😄😄 polisi
 
Tanzania wapo katika mambo ya Engonga Batasari kasoro record label ndo amna amna
 
Ripoti ya Afrobarometer iliyochapishwa hivi karibuni, imebaini kuwa huduma za polisi barani Afrika zinakabiliwa na changamoto kubwa za uadilifu na weledi, huku asilimia ndogo ya raia wakiridhika na utendaji wa vyombo hivyo vya usalama.
View attachment 3168156
Kwa mujibu wa ripoti hiyo iliyokusanya maoni ya raia kati ya mwaka 2021 na 2023, ni mmoja tu kati ya Waafrika watatu anayesema anaridhishwa na utendaji wa polisi.

Kwenye list hii hakuna nchi yoyote ya Afrika Mashariki, tazama;

1. Botswana
2. Afrika Kusini
3. Benin
4. Tunisia
5. Senegal
6. Sao Tome na Principe
7. Seychelles
8. Ghana
9. Cape Verde
10. Lesotho

Chanzo: Business Insider Afrika
11. Namibia
 
Back
Top Bottom