Naona na hao wakibera pia hawamoHii taarifa imetengenezwa Kibera
Japo bado sijaamini authenticity ya hiyo orodha lakini kushabikia mambo ya namna hii ni sahihi kwani nchi inatakiwa ipitie magumu mengi hata ikibidi total economic collapse kama ndiyo njia itakayoleta regime change, unazungumzia upuuzi wa "tutakao kufa njaa ni sisi" kwani wanaokufa(wanaouawa) kwa kutekwa, kuteswa na kuuawa wao si binadamu? Je tutakomesha vipi ubaradhuli huo? Kwanini tulee mfumo ambao wachache wananufaika kwa dhulma, mateso na mauaji dhidi ya Watanganyika? Even purifying gold huwa inapitishwa kwenye moto mkali hivyo acha nchi ipite kwenye moto mkali ili hata chawa na wale wasiojitambua somo liwaingie.Msifanye utani na kushabikia mambo kma haya tutakaokufa njaa ni sisi huku tabaka la chini
Mambo yepi nawewe mzalendo uchwara???Msifanye utani na kushabikia mambo kma haya tutakaokufa njaa ni sisi huku tabaka la chini
Punguza makasiriko muda wa kutafuta rizki huuMambo yepi nawewe mzalendo uchwara???
Hiyo ni list ya safest countries not necessarily kwa watalii. Katika hiyo list yako siioni Morocco, Egypt, SA, Rwanda, Kenya ambazo zinaongoza zaidi kutembelewa barani Africa. Nako utalii utakufa?
View attachment 3530365
Leta takwimu za sasa, siyo za mwaka 2024. Au weka za 2024, weka na za sasa, ili tujue kama tumepanda au tumeshuka.