Mimi mwenyewe nashanga ccm ya samia ni genge la wahuni kamili...sasa kama sa100 hiki ni kipindi cha kwanza cha uongozi wake anafanya ovyo namna hii itakuwaje akipsta kipindi cha pili ???maana viongozi wengi ujitaidi kufanya vizuri kipindi cha kwanza ila cha pili huwa ni maafa wanafanya ushenziii wote dhidi ya taifa