Nchi 15 duniani zinazoogopwa kwa uchawi na ushirikina

Nchi 15 duniani zinazoogopwa kwa uchawi na ushirikina

IQ ya hao watafiTi Ni Under 85 Wazungu wanasema wa Africa Ni Maskini , Mara Wa Africa vile Ili waendelee kutukalia Kichwqni Me Zangu Zimoo.

Aisee We Na Nchi Yako ya Kenya Ndiyo wachawi wakubwa Na wazungu Wenu Sisi Tz ni Nchi Teule Tena tunaongozwa Na Malaika hamna Jipya
 
Mkuu waombe mods waunganushe uzi huu na wangu
 
i love Romania. i have a passport. soon will be in that country. nyota yangu nitaijua tu kule
 
Uwe unasoma vizuri na sio kukurupuka tu kama kichaa , ndio maana huwa mnafeli kijinga mitihani, wapi hapo umeona Tanzania ni ya Pili????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wakenya ni Wateja wakubwa sana wa ngwasuma za waganga from bongo.
Mbona hawapo kwenye list
 
kwa nini tz kila kitu tunakuwa wa mwisho?
naomba kujuzwa hiyo visa ya romania nikawatolee uvivu, sipendi ujinga mimi
 
Back
Top Bottom