Nchi 15 duniani zinazoogopwa kwa uchawi na ushirikina

Nchi 15 duniani zinazoogopwa kwa uchawi na ushirikina

Bila Nigeria hii list ni ya uongo [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Umesahau nchi Moja nayo ni Nigeria.

Nigeria uchawi wao huwa kwenye maigizo ya movies na ndio hufanya waonekane kama taifa la kishirikina, ila wale ni magwiji kwenye utapeli, ndio fani au sifa wanayofahamika nayo hata Ulaya ukimtajia mzungu kwamba wewe Mnijeria, mara moja anakua macho na makini kwenye kila utakachomwambia.
 
Bila naija iyo list ni fake
 
Kajipange ingawa uzi wa miaka

Unawajua Fiji wao mpaka serikali inaamini Voodoo
Ukienda sokoni kila mmoja ana miungu wake na utanunua tu utapambiwa mpaka ubebe mdoli

Mpaka keychains za voodoo [emoji23]
IMG_3881.jpg
 
Kwa wengine sina ushahidi ila kwa Jomo kenyatta ushahidi upo ndani ya kitabu chake; "I see mount Kenya".
Ni hatari sana kuwa na Rais mchawi.

Ndio maana nchi haziendelea kumbe ikulu kuna ibilisi limeketi pale.
 
Yaani hakuna Sierra Leoni, hakuna Haiti
 
Back
Top Bottom