Nchi 30 duniani zenye watu wenye IQ ndogo

Mkuu ni kweli watu ni wazalendo ila watu wenye IQ ndogo ndio kikwazo Cha maendeleo ya mtu mmoja mmoja nchini na suluhisho la matatizo yetu
 
Hazina maana kila mtu aishi atakavyo ,siku ukifa utajua kuwa kuna IQ au laah.

Kujipa wasiwasi kwa kujilinganisha kwa vigezo vya wazungu ,havina maana yoyote .
 
Ni sawa tu kwa sababu hata wewe ni uhahidi tosha kuwa una IQ ndogo mno. Umeandika tuhuma kwa nchi kadhaa hapa kuwa na IQ ndogo lakini hata hujaeleza standard IQ ni kiasi gani? Blah blah tu.
 
Kwa mada nyingi za huku Jff....unaonaje mdau....ni kweli ama sio kweli?
 
Ni sawa tu kwa sababu hata wewe ni uhahidi tosha kuwa una IQ ndogo mno. Umeandika tuhuma kwa nchi kadhaa hapa kuwa na IQ ndogo lakini hata hujaeleza standard IQ ni kiasi gani? Blah blah tu.
Bro πŸ˜‚umeumia sana ila Cha kushangaza hizo ni statistics na zinatolewa na world statistics rank
 
Haina tofauti na kuambiwa unakula chini ya dola 1 kwa siku.

Tujitahidi kusonga mbele
 
sasa kwenye hiyo listi ya mataburararasa, hao Pakistan na Uganda si ndo ilibidi wawe vinara kwa kuwa na IQ kubwa zaidi ya wengine ya 76 hlf sisi ndio tuwe wa pili kwa IQ kubwa ya 75 kati ya hao 30, wewe umeandika sisi wa 28?πŸ˜‡πŸ˜‡naona umereverse au mimi ndo sijaelewa?
 
Kwa mpumbavu Kama wewe hujui hata maana ya IQ and the basis of it

Hujui hata inajengwa na framework gani

Anyways

Kiazi ni kiazi tu unaangalia thr list na hujagundua ni Africa predominantly
Mimi nilidhani ungekuja na HOJA kinzani na uzi, badala na wewe kujikita kwenye uzi, umejikita kwa mleta UZI, huoni kama una prove alicho kiandika kutuhusu wabongo na bongo yetu?
 
Africa na ujinga huwezi kuwatenganisha. Nashangaa kuwakosa wa south africa.

Tanzania imependelewa
 
Watu wajinga wanaotawaliwa na mkoloni kutoka nchi jirani na bado wanamuabudu wanakuwaje na IQ kubwa hivyo!
 
Tanzania huandaa sherehe na makongamano kwa pesa ndefu sana.Lakini linapokuja suala la kutekeleza miradi ya miundombinu ihusuyo maisha yetu ya kila siku tunahitaji wahisani na wafadhili
 
Mimi nilidhani ungekuja na HOJA kinzani na uzi, badala na wewe kujikita kwenye uzi, umejikita kwa mleta UZI, huoni kama una prove alicho kiandika kutuhusu wabongo na bongo yetu?
Why niende nje ya Uzi?

Uko schizo we matako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…