Nchi 30 duniani zenye watu wenye IQ ndogo

Ila Kuna chama kimoja Cha siasa na timu moja ya mpira ndio wanaacha inaonekana taifa limejaa mazamwamwa.
Nyie UTO nyie hebu badilikeni
 
Haina tofauti na kuambiwa unakula chini ya dola 1 kwa siku.

Tujitahidi kusonga mbele
Haina madhara yoyote wanachotaka tuwe kama wao ilq sisi ni tofauti...Ukiweka mashindano lazima kuwe na wa kwanza na mwisho...

Mambo ya kujilinganisha ni mwanzo wa kukosa furaha ,kikubwa tuishi tu.
 
Nchi za watu weusi tu ndio zimebase ktk hilo list batili ambayo nina uhakika imetungwa na mtu mweupe.

Anyway matatizo karibu 90% ya hizo nchi yameletwa na ukoloni na yamesababishwa na ukoloni wa hao hao waliotunga iyo list.

Yaani unamkoloni mtu, unaiba mali zake, unampa elimu ya uongo ya kidini na elimu dunia potofu then unasainisha mikataba ya unyonyaji inayomfunga yeye na vizazi vyake kutotoka ktk huo ukoloni, baadae huyu huyu mtu unakuja kumlaumu kwanini haendelei?.

Siwalaumu sana hawa watu weupe lkn huu mzigo wa lawama haukwepeki kwao, maana wao ndio chanzo cha umasikin Afrika na kila pembe ya dunia ambako wanaoana kuna maslahi yao.

Afrika kinachoturudisha nyuma ni hiyo mifumo ya ukolon ambayo bado imetufunga kusonga mbele kifikra mpaka kiutendajo, mtu anapojaribu kujitoa ktk mifumo hiyo ya ukoloni bado anawindwa na kuonekana adui huku akifanyiwa kila njama za kumuangamiza na kumfanya aonekane mpotoshaji, ili tu kulinda maslahi ya hao wakoloni.

Dini na elimu ndio nguzo kuu ya kumtawala mtu hasa mweusi ili kumuibia na kumpotosha.

IQ ingepimwa kweli kwa mambo ya uhalisia basi sidhani kama hizo nchi zingekosekana ktk ile real top 100 ya wenye IQ kubwa, maana kumtawala mtu kwa zaidi ya miaka 1000 na bado anasurvive si jambo dogo, ingekuwa hao watu weupe wamefanyiwa hili walilofanya kwa mtu mweusi sidhani kama wangesurvive hata kwa nusu karne.
 
IQ ya 75% ya Watanzania haizidi 60
Wa Tz tuna low IQ rankings huwezi kufananisha na wenzetu pia ukija kwenye nchi kam Israel ni ndogo yani Tz ni mara 43 ya Israel na pia Israel Ina watu approximately 10M tu lkn Tz tuna almost 67M ila kutokana na IQ kubwa za watu Israel kiuchumi Ina Net worth ya $550Billion wakati Tz tuna $85Billion

IQ matters much on terms of country development
 
Nchi za watu weusi tu ndio zimebase ktk hilo list batili ambayo nina uhakika imetungwa na mtu mweupe.

Anyway matatizo karibu 90% ya hizo nchi yameletwa na ukoloni na yamesababishwa na ukoloni wa hao hao waliotunga iyo list.

Yaani unamkoloni mtu, unaiba mali zake, unampa elimu ya uongo ya kidini na elimu dunia potofu then unasainisha mikataba ya unyonyaji inayomfunga yeye na vizazi vyake kutotoka ktk huo ukoloni, baadae huyu huyu mtu unakuja kumlaumu kwanini haendelei?.

Siwalaumu sana hawa watu weupe lkn huu mzigo wa lawama haukwepeki kwao, maana wao ndio chanzo cha umasikin Afrika na kila pembe ya dunia ambako wanaoana kuna maslahi yao.

Afrika kinachoturudisha nyuma ni hiyo mifumo ya ukolon ambayo bado imetufunga kusonga mbele kifikra mpaka kiutendajo, mtu anapojaribu kujitoa ktk mifumo hiyo ya ukoloni bado anawindwa na kuonekana adui huku akifanyiwa kila njama za kumuangamiza na kumfanya aonekane mpotoshaji, ili tu kulinda maslahi ya hao wakoloni.

Dini na elimu ndio nguzo kuu ya kumtawala mtu hasa mweusi ili kumuibia na kumpotosha.

IQ ingepimwa kweli kwa mambo ya uhalisia basi sidhani kama hizo nchi zingekosekana ktk ile real top 100 ya wenye IQ kubwa, maana kumtawala mtu kwa zaidi ya miaka 1000 na bado anasurvive si jambo dogo, ingekuwa hao watu weupe wamefanyiwa hili walilofanya kwa mtu mweusi sidhani kama wangesurvive hata kwa nusu karne.
South Africa was colonized and it has a ranking of 100 IQ plus pia Ina net worth kubwa kitu kingine hii nchi umekataa Ukoloni mambo Leo na inasimama na sera zake
Kuna nchi kama Ethiopia Ina watu Wana approximately 75IQ na hawajatawaliwa Wana mifumo yao ikiwemo Elimu na kila kitu chao ila IQ zipo chini.

Kwahiyo, mkuu kwa asilimia fulani nakubaliana na wewe ila IQ zetu ni kutokana na Jamii zetu sio Ukoloni
 
Equatorial guinea kwa kitomb baltazar,kwann wenye IQ ndogo wanapenda kuzaa kama mifugo
 
South Africa was colonized and it has a ranking of 100 IQ plus pia Ina net worth kubwa kitu kingine hii nchi umekataa Ukoloni mambo Leo na inasimama na sera zake
Kuna nchi kama Ethiopia Ina watu Wana approximately 75IQ na hawajatawaliwa Wana mifumo yao ikiwemo Elimu na kila kitu chao ila IQ zipo chini.

Kwahiyo, mkuu kwa asilimia fulani nakubaliana na wewe ila IQ zetu ni kutokana na Jamii zetu sio Ukoloni
Ethiopia iliwahi kukumbwa na njaa kali sana miaka ya katikati ya 80 hadi wana music maarufu wa Marekani walitengeneza wimbo, Michael Jackson, Steve Wonder etc ili kuchangia chakula, baadae walipigana sana hadi nchi hi inayo itwa Elitrea ikaundwa, watoto waliozaliwa miaka hiyo ndio watu wazima wa sasa so huenda utapia mlo ulileta athari kubwa. Tanzania tuna sababu gani ya kua na IQ ndogo?
 
Habari wadau wa JamiiForums,
Leo nimekuja na mada nyeti kidogo, lakini yenye umuhimu mkubwa wa kujadiliwa. Mara nyingi tunazungumzia mataifa yenye watu wenye IQ kubwa, lakini je, umewahi kujiuliza ni nchi gani zina viwango vya chini vya IQ duniani?

IQ (Intelligence Quotient) ni kipimo cha uwezo wa mtu kufikiri, kutatua matatizo, na kuelewa mambo kwa haraka. Ingawa IQ inaweza kuathiriwa na mambo kama lishe, mfumo wa elimu, afya ya akili, na mazingira ya kijamii, bado kuna tofauti kubwa kati ya nchi moja na nyingine.

Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, zipo nchi ambazo kwa wastani zina viwango vya chini vya IQ. Baadhi ya sababu zinazochangia hali hii ni pamoja na:
  • Elimu duni: Mifumo duni ya elimu huathiri uwezo wa kufikiri kwa kina.
  • Lishe mbaya utotoni: Utapiamlo huathiri maendeleo ya ubongo wa mtoto.
  • Mazoea ya kijamii na utamaduni: Baadhi ya jamii hazihamasishi kufikiri kwa kina au kupenda kusoma.
  • Afya ya akili na magonjwa: Magonjwa ya kurithi au mazingira yenye uchafu yanaweza kupunguza uwezo wa ubongo.

Orodha ya Nchi 30 Zenye Wastani Mdogo wa IQ

Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, hizi ni nchi 30 zinazokadiriwa kuwa na viwango vya chini vya IQ duniani:

1. Equatorial Guinea – IQ 59

2. Sierra Leone – IQ 60

3. Liberia – IQ 62

4. Nepal – IQ 63

5. Guinea-Bissau – IQ 64

6. Haiti – IQ 65

7. Chad – IQ 65

8. Mali – IQ 66

9. Burkina Faso – IQ 67

10. Mozambique – IQ 67

11. Niger – IQ 68

12. Angola – IQ 69

13. Burundi – IQ 69

14. Congo (DRC) – IQ 70

15. Madagascar – IQ 70

16. Comoros – IQ 71

17. Gambia – IQ 72

18. Togo – IQ 72

19. Lesotho – IQ 72

20. Zambia – IQ 73

21. Malawi – IQ 74

22. Rwanda – IQ 74

23. Senegal – IQ 74

24. Djibouti – IQ 74

25. South Sudan – IQ 74

26. Ethiopia – IQ 75

27. Cameroon – IQ 75

28. Tanzania – IQ 75

29. Uganda – IQ 76

30. Pakistan – IQ 76

(Sources ya taarifa hii: World Population Review, IQ Research Reports)

Kwa mtazamo wa orodha hii, ni wazi kwamba nchi nyingi zilizo na IQ ya chini zinapatikana Africa na Asia. Je, ni kwa nini hali hii ipo zaidi kwenye mabara haya?

  • Je, IQ ni kipimo sahihi cha akili au kuna vipimo vingine bora zaidi?
  • Je, mifumo ya elimu katika nchi hizi inaweza kuboreshwa ili kuinua viwango vya IQ?
  • Je, serikali zinaweza kufanya nini kupunguza pengo hili la akili?

Aisee mada nyeti, lakini ni muhimu tujadili ili kuelewa changamoto zinazokumba nchi hizi na kuona namna ya kuzitatua. Kumbuka, IQ sio kipimo pekee cha mafanikio maishani, lakini inaweza kuathiri maendeleo ya nchi kwa namna fulani.

Wadau wa JF, naomba mawazo yenu! Je, unakubaliana na takwimu hizi? Unadhani kuna sababu nyingine kubwa zinazochangia viwango vya chini vya IQ katika nchi hizi?

Kwa wale wanaopenda research, nawashauri wachimbe zaidi kwenye mada hii, waangalie vyan
zo vya data, na wajaribu kuelewa kwa kina sababu halisi
zinazochangia tofauti za IQ duniani.

Nawakilisha!
Tujadili kwa hoja na kiakili!
Unajuaje hawa watu hawajatatua hayo unayoyaita matatizo yao kwa sababu IQ yao ni ndogo, na si kwa sababu si kipaumbele chao, au ni kipaumbele chao lakini ni wavivu tu? Au si wavivu, lakini hawajapata fursa nzuri tu?

Kuna fursa nyingine zimetokea kwa sababu ya kijiografia maelfu na maelfu ya miaka huko. Sasa kama watu wamekuwa walivyo kiutamaduni kwa sababu za kijiografia (mfano Africa kusini mwa jangwa la Sahara ilitengwa na dunia kwa miaka mingi sana) kama kumetokea utamaduni wa nyuma usiojiongeza kisayansi kwa sababu za kijiografia, hapa utasemaje issue ni IQ ndogo ya watu?

Unahakikishaje hapa tatizo ni IQ, na si utamaduni tofauti tu? Au jiografia tu?

Unawalinganisha vipi watu wenye epistemology ya kisayansi na kimantiki na watu wenye epistemology ya kidini na kichawi?

Katika kitabu chake kikichoshinda nishani ya Pulitzer cha Gun Germs and Steel : The Fates of Human Societies" muandishi nguli Jared Diamond alikosoa dhana nzima ya kulinganisha IQ za watu wa tamaduni tofauti sana, akieleza kuwa si sawa kupima uwezo wa muwindaji wa nisitu ya Papua New Guinea kwa viwango vya kumpima stock broker wa New York City.

Unaweza kuona stock broker wa New York City ana IQ kubwa kuliko muwindaji wa Papua New Guinea, kwa standard za kupima IQ za New York City. Lakini je, ukimchukua huyo stock broker wa New York City ukamtupa katika misitu ya Papua New Guinea umpime uwezo wake wa kuwinda na ku survive misituni, ataweza kumpita huyo muwindaji wa Papua New Guinea?

Kwa critique hiyo ya Jared Diamond unahalalisha vipi kupima IQ za watu wa dunia nzima na kuwa rank ya juu mpaka chini wakati maisha yao ni tofauti sana?
 
Habari wadau wa JamiiForums,
Leo nimekuja na mada nyeti kidogo, lakini yenye umuhimu mkubwa wa kujadiliwa. Mara nyingi tunazungumzia mataifa yenye watu wenye IQ kubwa, lakini je, umewahi kujiuliza ni nchi gani zina viwango vya chini vya IQ duniani?

IQ (Intelligence Quotient) ni kipimo cha uwezo wa mtu kufikiri, kutatua matatizo, na kuelewa mambo kwa haraka. Ingawa IQ inaweza kuathiriwa na mambo kama lishe, mfumo wa elimu, afya ya akili, na mazingira ya kijamii, bado kuna tofauti kubwa kati ya nchi moja na nyingine.

Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, zipo nchi ambazo kwa wastani zina viwango vya chini vya IQ. Baadhi ya sababu zinazochangia hali hii ni pamoja na:
  • Elimu duni: Mifumo duni ya elimu huathiri uwezo wa kufikiri kwa kina.
  • Lishe mbaya utotoni: Utapiamlo huathiri maendeleo ya ubongo wa mtoto.
  • Mazoea ya kijamii na utamaduni: Baadhi ya jamii hazihamasishi kufikiri kwa kina au kupenda kusoma.
  • Afya ya akili na magonjwa: Magonjwa ya kurithi au mazingira yenye uchafu yanaweza kupunguza uwezo wa ubongo.

Orodha ya Nchi 30 Zenye Wastani Mdogo wa IQ

Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, hizi ni nchi 30 zinazokadiriwa kuwa na viwango vya chini vya IQ duniani:

1. Equatorial Guinea – IQ 59

2. Sierra Leone – IQ 60

3. Liberia – IQ 62

4. Nepal – IQ 63

5. Guinea-Bissau – IQ 64

6. Haiti – IQ 65

7. Chad – IQ 65

8. Mali – IQ 66

9. Burkina Faso – IQ 67

10. Mozambique – IQ 67

11. Niger – IQ 68

12. Angola – IQ 69

13. Burundi – IQ 69

14. Congo (DRC) – IQ 70

15. Madagascar – IQ 70

16. Comoros – IQ 71

17. Gambia – IQ 72

18. Togo – IQ 72

19. Lesotho – IQ 72

20. Zambia – IQ 73

21. Malawi – IQ 74

22. Rwanda – IQ 74

23. Senegal – IQ 74

24. Djibouti – IQ 74

25. South Sudan – IQ 74

26. Ethiopia – IQ 75

27. Cameroon – IQ 75

28. Tanzania – IQ 75

29. Uganda – IQ 76

30. Pakistan – IQ 76

(Sources ya taarifa hii: World Population Review, IQ Research Reports)

Kwa mtazamo wa orodha hii, ni wazi kwamba nchi nyingi zilizo na IQ ya chini zinapatikana Africa na Asia. Je, ni kwa nini hali hii ipo zaidi kwenye mabara haya?

  • Je, IQ ni kipimo sahihi cha akili au kuna vipimo vingine bora zaidi?
  • Je, mifumo ya elimu katika nchi hizi inaweza kuboreshwa ili kuinua viwango vya IQ?
  • Je, serikali zinaweza kufanya nini kupunguza pengo hili la akili?

Aisee mada nyeti, lakini ni muhimu tujadili ili kuelewa changamoto zinazokumba nchi hizi na kuona namna ya kuzitatua. Kumbuka, IQ sio kipimo pekee cha mafanikio maishani, lakini inaweza kuathiri maendeleo ya nchi kwa namna fulani.

Wadau wa JF, naomba mawazo yenu! Je, unakubaliana na takwimu hizi? Unadhani kuna sababu nyingine kubwa zinazochangia viwango vya chini vya IQ katika nchi hizi?

Kwa wale wanaopenda research, nawashauri wachimbe zaidi kwenye mada hii, waangalie vyan
zo vya data, na wajaribu kuelewa kwa kina sababu halisi
zinazochangia tofauti za IQ duniani.

Nawakilisha!
Tujadili kwa hoja na kiakili!
Niko busy kuzi-mark nchi za Afrika ambazo hazipo kwenye hiyo orodha ya nchi vilaza.
 
Walau tuna A ya mwanzon ya 75 ya uvivu wa kufikr na kuja na jawabu la tatzo
 
Sio kweli kwa Rwanda na senegal
 
Back
Top Bottom