Nchi 30 duniani zenye watu wenye IQ ndogo

Ukiwa Tanzania wabongo wanawasifia waganda na wakenya na ukiwa kenya wakenya wanawasifu wabongo na ukiwa Uganda waganda wanawasifu wabbongo

Ukifika Zanzibar wazanzibar wanawasifu wabongo inashangaza

Inaonekana waafrica hawajikubaali
Wakenya na Waganda wanawasifu Watanzania kwa lipi?
 
Hazina maana kila mtu aishi atakavyo ,siku ukifa utajua kuwa kuna IQ au laah.

Kujipa wasiwasi kwa kujilinganisha kwa vigezo vya wazungu ,havina maana yoyote .
Cha ajabu hata humu JF upo kwa kutumia technology ya Wazungu na elimu ya Wazungu.
 
Nimefurahi sana baada ya kuona Tanzania na sisi Tumo kwenye orodha ya vilaza duniani.

Ningelia sana na Ningepinga utafiti kama tusingekuwepo kwenye list.
 
Nilikuwa natafuta nchi fulani nikaona mpaka nakaribia kumalizia list sioni hiyo nchi nikataka nicoment kwa kupinga utafiti ila bahati nzuri nimeiona namba ngapi sijui mwisho mwisho hapo.

Sipingi utafiti wako.
Hiyo nchi wenye low IQ ni kuanzia maprofesa mpaka makuli.
 
Kama nimeweza kuziona habari za Yanga kwenye huu uzi basi naungana na mleta mada.
 
Cha ajabu hata humu JF upo kwa kutumia technology ya Wazungu na elimu ya Wazungu.
Kwani natumia bure? IQ haikusaidii kitu ,pambana na maisha yako ...


Waafrika walikuwa na teknolojia yao mpaka wakaletewa huu ujinga kwa kukaririsha tamaduni za wazungu ,ona leo unasoma kwa kingereza ili uonekane msomi.

Acha kila mtu aishi mpaka atakapokufa kama ungekuwa na iQ ya kufikiria tu mateso ya binadamu dunia ; utafutaji , matatizo ,na hata kukata tamaa ...Usingethubutu kuzaa mtoto ,kiumbe unayemleta kwenye matatizo hapa duniani.
 
Ndugu yangu Davidmmarista namm nitie neno kidogo sana takwimu hizi zipo lakn jua hili yaan Kwann takwimu?

1..kufufisha kizazi kichanga kijue wao ni Bora kuliko sisi na hii mbaya sana inaua ndoto changa za kunyanyua uvimbuzi walio nao

Pia katika vyanzo umetaja hapo mkuu bado nakazia mchango wa Hawa watu
1.serikali za nchi za Africa na ulaya zinachangia sana kuwa na hio kitu yaan kijana amebuni kitu ila ulaya wanapoona kile kitu sharti nchi husika mkataze huyo mtu hivyo yaan serikali yako inakukanya maendeleo yake vuta picha utengenezaji wa gari la maji ,helkopta n.k.

Mbaya zaid mkuu ni hii

1.Kubebwa kwa baadhi ya jamii ya Africa hasa wasomi wanaoonekana ni hatr sana na kutorudishwa kabisa huku ,usisahau kuharibu mfumo wa uzazi wasizae na mwAfrica lengo kizazi chenye sifa kutokea ktk uzao huo kisiwepo .
KUHUSU LA KUFANYA NIACHIE HAPO
 
Baltasar nilijua tu kwamba kutakuwa hamna kitu mule kichwani
 
Yeah sahihi kabisa mkuu
 
Hivi kwa nini hatuwatawala badala yake tukatawaliwa, hii ni kwamba wametuzidi akili(IQ). Kwanini hatukuwafundisha kusoma na kuandika badala yake wao ndiyo wakatufindisha. Vipi hatuwaingiza kwenye dini zetu za asili za kuabudu mizimu badala yake wakatuletea dini zao na tukazimeza jumla jumla bila ya kujiuliza mpaka sasa tunajiona tunazielewa zaidi yao. Kuna nchi za Asia(Hong Kong, Singapore, Taiwan na South Korea) kwenye early sixties zilikuwa chini sana kiuchumi lakini angalia zilipo leo. Sisi Africa more than half a century ya kujitawala wenyewe bado tulalaumu wakoloni kwa jinsi tusivyo na akili, it's likely kama Wazungu wasigekuwa wanaendelea kutuelimisha(tumeshindwa kujielimisha) ingekuwa bado tunaishi maporini na kuvaa magome ya miti na wanawake wangekuwa wanavaa vibwaya tu na matiti njem
 
Kwani kama hauitumii bure inaibadili na kuwa si technology ya Wazungu? Hizo pesa zenyewe wana-print Wazungu ndiyo uone ukosefu wa akili wa Waafrika, mifumo yote ni ya Wazungu yaani chochote cha kutumia akili Waafrika ni sifuri.
Matatizo yako ya utafutaji usidhani kila mtu anayo kwa kiwango chako, hata jinsi wanavyoteseka watoto wako hiyo ni kwako na si kwa kila mtu.
 
Kama tunatumia vyao hizo IQ zitatoka wapi? IQ zilikuwa zamani kwa sasa mwafrika hana ubunifu Zaid ya kufuata elimu isiyokuwa asili yake.


Kulikuwa na ubunifu kabla ya kuwekwa kwenye elimu ya kipuuzi ,mwanzo wa kuacha kujituma na kuamini kuajiriwa tu.
 
Hiyo elimu ya kipuuzi kwanini unapeleka watoto shule wakajifunze upuuzi?
Kwanini usiwapeleke porini wapate IQ hiyo ya kiporipori unayoithamini?
Kwanini usiache kutumia smartphone ukarudi msituni kwenye asili ya mtu mweusi ukajikite na IQ ya kula mizizi na matunda ya porini pamoja na kuchimba mitishamba?
Unakashfu maendeleo ya science and technology ambayo ni elimu ya Kizungu lakini unayang'ang'ania maisha ya Kizungu wakati mapori yamejaa you can just go back and live that primitive life which hypocritically you cherish so much.
Your shit proves where TZ stands katika kiwango cha IQ.
 
Afrika Kuna tatizo kubwa.
 

Attachments

  • global-iq-map-v0-w1373058zlwd1.jpeg
    106.2 KB · Views: 1
Hii elimu haiendani na mwafrika ,wewe bishana ila ni ukweli ..

Kabla ya hapo kulikuwa na wataalamu wa kufua vyuma na shughuli nyingine ,kwa sasa wako wapi?
Watu walikuwa wanajua kujenga majengo kama yale mapyramid na ngome nyingine ila wametolewa huko wameletwa kwenye mfumo mmoja.

Kiufupi hii sio elimu inayowafaa waafrika zaidi ya kuendelea kutawaliwa kitamaduni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…