kirikou1
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 4,815
- 6,517
hasa wanaume tungeuliwa sana maana kama hufanyi kazi za kukumbuka tarehe unajikuta imeshapita au unakumbushwaHilo la birthday tz wangeuliwa wengi najaribu kuwaza tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hasa wanaume tungeuliwa sana maana kama hufanyi kazi za kukumbuka tarehe unajikuta imeshapita au unakumbushwaHilo la birthday tz wangeuliwa wengi najaribu kuwaza tu
anatoaje xx....?mwenye picha HALISI huwa haombi
Afu ndo watunga sheria BungeniTanzania inaongoza kwa Matendo mazuri. Km kuondoa watu wote kazini ambao hawajafika form iv.na wanasiasa qawe la saba tena wajue tuu kusoma na kuandika
Oooh umehisi nn tena mkuu?Hiyo ya kutembea na mbwa sijaielewa vizuri, maana mi mswahili, kutembea kivipi?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kweli duniani kuna Mengi.......Ujerumani. Huruhusiwi kumsalimia mtu huku umeweka mikono mifukoni kwa wenyeji wanasema kuwa ni ishara ya majivuno. CHINA, Huruhusiwi kumaliza chakula chote kwenye chombo ulichotumia na ukimaliza chakula itaonekana hujashiba. Uswisi, hairuhusiwi kupiga honi hata kama ukiwa kwenye foleni maana honi ni kwaajili ya dharura tu kwahiyo ukipiga tu watu wote watatahamaki na kushangaa nini kimetokea. INDIA, Huruhusiwi kuendesha gari kwa mkono wa kushoto maana mkono wa kushoto ni najisi kwao.
Nyumbani kwangu.haruhusiwi kuja mgeni ndugu yoyote na kukaa bila kazi zaidi ya wiki mojaUjerumani. Huruhusiwi kumsalimia mtu huku umeweka mikono mifukoni kwa wenyeji wanasema kuwa ni ishara ya majivuno. CHINA, Huruhusiwi kumaliza chakula chote kwenye chombo ulichotumia na ukimaliza chakula itaonekana hujashiba. Uswisi, hairuhusiwi kupiga honi hata kama ukiwa kwenye foleni maana honi ni kwaajili ya dharura tu kwahiyo ukipiga tu watu wote watatahamaki na kushangaa nini kimetokea. INDIA, Huruhusiwi kuendesha gari kwa mkono wa kushoto maana mkono wa kushoto ni najisi kwao.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji13]Nyumbani kwangu.haruhusiwi kuja mgeni ndugu yoyote na kukaa bila kazi zaidi ya wiki moja
Nilihic labda kumpiga pu*** mbwaOooh umehisi nn tena mkuu?
HahahahaNilihic labda kumpiga pu*** mbwa
Pamoja na vituko vyao but still uchumi wao unakua.WAKOREA WAAGIZWA KUNYOA KIDUKU KAMA RAISI WAO KIM
Wanaume Korea Kaskazini wanakabiliwa na mtihani mpya katika taifa lao; wa kunyoa nywele kwa mtindo ulioamuliwa na rais wao.
Watake, wasitake kuanzia sasa kila mwanamume atalazimika kunyoa nywele zake kwa mtindo anaoupenda Rais Kim Jong- un.
Kiongozi huyo kijana, aliyerithi wadhifa huo baada ya kifo cha baba yake, hana mzaha hasa kutokana na nia yake ya kujenga mfumo mpya wa utawala ambao matakwa yake tu ndiyo ya kufuatwa.
Ni wiki mbili sasa tangu serikali ya nchi hiyo kutoa agizo linalowataka wanaume kunyoa kama rais wao, huku wanawake nao wakielekezwa kutengeneza nywele zao kwa aina 18 tofauti na si zaidi ya hapo.
Hilo ni moja ya maagizo yenye utata kuwahi kutolewa chini ya utawala wake, ambapo amekuwa akifanya jitihada za kujijengea mizizi, ikiwamo kuwaondoa na kuwaadhibu wale waliokuwa katika utawala wa baba yake wanaoonekana kutokubaliana na aina yake ya uongozi.
WAKOREA WAAGIZWA KUNYOA KIDUKU KAMA RAISI WAO KIM ~ BONGO POST
duh hatari,je ikitokea umekufa huzikwi au?Ni marufuku kufa bungeni Uingereza (House of commons)
Majaabu ya dunia ni mengi ya kujifunza
Hivi kumbe Kansas na Iowa ni nchi,