Nchi 8 zenye sheria zinazoshangaza

Ujerumani. Huruhusiwi kumsalimia mtu huku umeweka mikono mifukoni kwa wenyeji wanasema kuwa ni ishara ya majivuno. CHINA, Huruhusiwi kumaliza chakula chote kwenye chombo ulichotumia na ukimaliza chakula itaonekana hujashiba. Uswisi, hairuhusiwi kupiga honi hata kama ukiwa kwenye foleni maana honi ni kwaajili ya dharura tu kwahiyo ukipiga tu watu wote watatahamaki na kushangaa nini kimetokea. INDIA, Huruhusiwi kuendesha gari kwa mkono wa kushoto maana mkono wa kushoto ni najisi kwao.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kweli duniani kuna Mengi.......
 
Nyumbani kwangu.haruhusiwi kuja mgeni ndugu yoyote na kukaa bila kazi zaidi ya wiki moja
 
Pamoja na vituko vyao but still uchumi wao unakua.

Tusubiri bongo hii ikifika na sisi tunyoe kama mkulu [emoji16] uhalaza style
 
Reactions: 247
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…