ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Sioni shida as long as mfumo wa nchi ni imara hasa kama wa kenya sio hata TanzaniaMy Take
Ikumbukwe Machadema Huwa yanaponda Mfumo wa sheria za Tanzania na kuwaponza CCM kwamba wanaruhusu darasa la saba Kugombea nafasi za Uongozi na kwamba huko wanakopewa hifadhi Kwa kibaraka wa beberu Kenya Kuna wasomi sana.
Haya Sasa Chadomo mnaitwa huku mje kujiona mlivyo mbumbumbu na kuaibika.
View attachment 3657491
Kumbe Bora na Tanzania 😆😆Hawana la saba wana Darasa la Sita
Labda huko CHADEMA ndio mpo Mambumbumbu ambao hamuwezi kufungua katibaKENYA MTOTO WA DARASA LA PILI ANAJUA ELIMU YA URAIA , TANZANIA MTU WA DEGREE KUFUNGUA KATIBA HAWEZI😭
Ipi hiyo anayoijua na ambayo imeshindwa kuwafanya wasiwe na Maisha Mazuri? Au Elimu ya urai imewasaidiaje Hadi Sasa?KENYA MTOTO WA DARASA LA PILI ANAJUA ELIMU YA URAIA , TANZANIA MTU WA DEGREE KUFUNGUA KATIBA HAWEZI😭
Kenya Ina mfumo upi imara wa kuzidi Tanzania na hao ndio tunawasulihisha Kila mara wakipigana? Tunawapa chakula Cha njaa,hawana umeme Kila kitu hawana.Sioni shida as long as mfumo wa nchi ni imara hasa kama wa kenya sio hata Tanzania
Kenye wewe kakojoe ukalale unajifananisha na kenya labda mika 100 huko..Kenya Ina mfumo upi imara wa kuzidi Tanzania na hao ndio tunawasulihisha Kila mara wakipigana? Tunawapa chakula Cha njaa,hawana umeme Kila kitu hawana.
Unatakiwa unijibu maswali badala ya Kuandika upumbavu kama wa ndugu zako Chadomo ambao saizi wameaibika.Kenye wewe kakojoe ukalale unajifananisha na kenya labda mika 100 huko..
Kwa hiyo na darasa lako la pili ndio umepata tumaini?My Take
Ikumbukwe Machadema Huwa yanaponda Mfumo wa sheria za Tanzania na kuwaponza CCM kwamba wanaruhusu darasa la saba Kugombea nafasi za Uongozi na kwamba huko wanakopewa hifadhi Kwa kibaraka wa beberu Kenya Kuna wasomi sana.
Haya Sasa Chadomo mnaitwa huku mje kujiona mlivyo mbumbumbu na kuaibika.
View attachment 3657491
Elimu ya Tanzania ni darasa la sabaKwa hiyo na darasa lako la pili ndio umepata tumaini?
Mbwa Koko wa Samia wapelekewe moto na Heche mpaka waharisheMy Take
Ikumbukwe Machadema Huwa yanaponda Mfumo wa sheria za Tanzania na kuwaponza CCM kwamba wanaruhusu darasa la saba Kugombea nafasi za Uongozi na kwamba huko wanakopewa hifadhi Kwa kibaraka wa beberu Kenya Kuna wasomi sana.
Haya Sasa Chadomo mnaitwa huku mje kujiona mlivyo mbumbumbu na kuaibika.
View attachment 3657491
Kwa hiyo wewe Ukiwa na darasa la sita la Kenya na Mimi la Saba la Tanzania wewe una Elimu kubwa na Bora au?Hivi kwa mwenye akili timamu Yani ambaye hajambemendwa na wazazi wake anaweza kufananisha elimu ya Tanzania kwa Kenya?? Ebu maCCM Kuna muda ukijenga hoja tutumie akili Yani hata mfumo wetu wa elimu mbovu ukiangalia private school nyingi wamejaa waalimu wa kikenya alafu unaitetea TaNzania kweli
unajua hawa watu wa ujinga wa kuzaliwa nao ndugu yangu. Mtu anaamua kujithihirisha alivyo mjinga mbele ya kadamnazi. Kenya grade3 ndo form 1 ya ccmHivi kwa mwenye akili timamu Yani ambaye hajambemendwa na wazazi wake anaweza kufananisha elimu ya Tanzania kwa Kenya?? Ebu maCCM Kuna muda ukijenga hoja tutumie akili Yani hata mfumo wetu wa elimu mbovu ukiangalia private school nyingi wamejaa waalimu wa kikenya alafu unaitetea TaNzania kweli
Kwamba degree ya Kenya ndio degree ila degree ya Tanzania sio degree au?Acha kufananisha huu ujinga na elimu ya kenya. Yaani kabisa mnataka muaminishe watu hata kwa ujinga na upuzi ambao mnaujua shenz type nyie. Ndio maana kwenu kuua ni kawaida tu. Kenya mtoto wa darasa la nne ana weza akafundisha form1 ya ccm na bado akabaki na akili nyingi tu. Elimu ya ccm mtu anasoma badala awe na akili ndo zinaisha hadi na za kuvukia barabara hana.
Toa hii takataka hapa