Nchi ambayo Chadema Wanaitokea Mfano wa Wanasiasa Wasomi Yafuta Degree kama Sifa ya Lazima ya Mgombea

Nchi ambayo Chadema Wanaitokea Mfano wa Wanasiasa Wasomi Yafuta Degree kama Sifa ya Lazima ya Mgombea

My Take
Ikumbukwe Machadema Huwa yanaponda Mfumo wa sheria za Tanzania na kuwaponza CCM kwamba wanaruhusu darasa la saba Kugombea nafasi za Uongozi na kwamba huko wanakopewa hifadhi Kwa kibaraka wa beberu Kenya Kuna wasomi sana.

Haya Sasa Chadomo mnaitwa huku mje kujiona mlivyo mbumbumbu na kuaibika.
View attachment 3657491
Ni mahakama ndio iliamua
 
unajua hawa watu wa ujinga wa kuzaliwa nao ndugu yangu. Mtu anaamua kujithihirisha alivyo mjinga mbele ya kadamnazi. Kenya grade3 ndo form 1 ya ccm
Kwamba ungesoma Kenya kiwango chako Cha upumbavu kinheoungua ama?
 
Wajuaji wanasumbua sana,, na siasa ni kupanga watu kwahiyo wajinga wakiwa wengi utawaongoza vizuri... Na akirudi term ya 2 hao darasa la 8 watampa miaka mingine 14 ya miaka 7 per term anayoitaka..

Dau la Professor Mhongo na Baba Level/Babu Tale hayawezi kulingana..
Sio yeye aliyeamua ni mahakama ya juu nchini Kenya. Muwe munasoma taarifa na kuelewa.
 
Mahakama ya juu ndio ilitoa maamuzi ya kwamba kugombea urais kwa kutaka degree ni kinyume na katiba. Sasa serikali ndio inatekeleza.
 
My Take
Ikumbukwe Machadema Huwa yanaponda Mfumo wa sheria za Tanzania na kuwaponza CCM kwamba wanaruhusu darasa la saba Kugombea nafasi za Uongozi na kwamba huko wanakopewa hifadhi Kwa kibaraka wa beberu Kenya Kuna wasomi sana.

Haya Sasa Chadomo mnaitwa huku mje kujiona mlivyo mbumbumbu na kuaibika.
View attachment 3657491
Sasa nchi yenyewe asilimia kubwa ya watu hawana degree, hamuoni kuwa degree kuwa kigezo ni kuminya demokrasia?

Kwani Rashid Mfaume Kawawa alivyoongoza nchi kama Waziri Mkuu alikuwa na degree gani?

Kutokuwa na degree kulimfanya ashindwe kuongoza nchi vizuri?

Mbona wengi wenye na wasio na degree wanaboronga sawa tu?

Ile elimu Kawawa aliyoipata katika vyama vya wafanyakazi na vuguvugu la kugombea uhuru utaifananisha na degree ya leo?

Rais Luiz Inacio Lula da Silva wa Brazil amechaguliwa mara tatu kuongoza taifa hilo kubwa tu.

Mnajua Lula hana degree yoyote? Alipitapita kwenye vyama vya wafanyakazi tu kama Kawawa, vikampa elimu kubwa sana kuliko hizo degree za kukariri mambo ambayo wengine hata hamyajui.

Tatizo watu wanaangakia degree ya ntu badala ya kuangalia elimu ya mtu.
 
1787765692732.jpg
 
My Take
Ikumbukwe Machadema Huwa yanaponda Mfumo wa sheria za Tanzania na kuwaponza CCM kwamba wanaruhusu darasa la saba Kugombea nafasi za Uongozi na kwamba huko wanakopewa hifadhi Kwa kibaraka wa beberu Kenya Kuna wasomi sana.

Haya Sasa Chadomo mnaitwa huku mje kujiona mlivyo mbumbumbu na kuaibika.
View attachment 3657491
TULIKUTUMA UKIMBIE SHULE?

Ona sasa unaanza kushangilia na kujipa matumaini hewa
 
Kenya Ina mfumo upi imara wa kuzidi Tanzania na hao ndio tunawasulihisha Kila mara wakipigana? Tunawapa chakula Cha njaa,hawana umeme Kila kitu hawana.
Mkuu fuatilia vizuri, Kenya ina mifumo imara sana ya vurugu na machafuko. Ambapo kwa kiasi kikubwa wanapambana mfumo huo usambae Afrika Mashariki yote.
Wako na mifumo imara sana ya Ukabila, ghasia na vurugu, wametuacha mbali sana kwahilo
 
My Take
Ikumbukwe Machadema Huwa yanaponda Mfumo wa sheria za Tanzania na kuwaponza CCM kwamba wanaruhusu darasa la saba Kugombea nafasi za Uongozi na kwamba huko wanakopewa hifadhi Kwa kibaraka wa beberu Kenya Kuna wasomi sana.

Haya Sasa Chadomo mnaitwa huku mje kujiona mlivyo mbumbumbu na kuaibika.
View attachment 3657491

Ww Unaona sawa mbunge kuwa na elimu ya kusoma na kuandika then anakwenda kupitisha bajet ya wanainchi wote?
 
Article 39 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaweka masharti kama:
✓Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa;
✓Awe ametimiza miaka 40;
✓Awe mwanachama na ✓amependekezwa na chama cha siasa;
✓Awe na sifa za kuwa Mbunge au Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi, kutegemea nafasi husika;
Na masharti mengine yaliyowekwa na Katiba.
Degree ya Bachelor, Diploma au PhD haijawekwa kama sharti la kugombea Urais.
 
Kwa hiyo wewe Ukiwa na darasa la sita la Kenya na Mimi la Saba la Tanzania wewe una Elimu kubwa na Bora au?

Kwamba degree ya Kenya inakuwa ni Elimu kuliko degree ya Tzn au?

Wewe ni mpumbavu kama kawaida ya machadomo mlivyo.
Matusi ya nini sasa mkuu na kwa matusi hayo basi ni wazi sisi kielimu tumeachwa! Sio tu la sita ya Kenya imeizidi la 7 ya Tanzania Yani kiufupi la 3 ya Kenya ndo la 7 ya Tanzania kwanza hamjui kujenga hata hoja mnaropoka tu wajinga nyinyi
 
unajua hawa watu wa ujinga wa kuzaliwa nao ndugu yangu. Mtu anaamua kujithihirisha alivyo mjinga mbele ya kadamnazi. Kenya grade3 ndo form 1 ya ccm
Tatizo sisi CCM hizi elfu 20 tunazolipwa posho za kuishambulia CDM basi tunawashambulia hata kwa vitu halisi ambavyo hata sisi tunaona wapo sahihi basi tu ni njaa ndo zinatufanya tuwapinge CDM
 
Tatizo sisi CCM hizi elfu 20 tunazolipwa posho za kuishambulia CDM basi tunawashambulia hata kwa vitu halisi ambavyo hata sisi tunaona wapo sahihi basi tu ni njaa ndo zinatufanya tuwapinge CDM
hata sio njaa ni ujinga wa kujizima data tu. Yaani kabisa unaona hili ni jiwe lakin mtu anataka ukubali kwamba n mti. Tena ukibisha anakunyooshea mtutu. Wajinga sana.
 
Back
Top Bottom