Ni mahakama ndio iliamuaMy Take
Ikumbukwe Machadema Huwa yanaponda Mfumo wa sheria za Tanzania na kuwaponza CCM kwamba wanaruhusu darasa la saba Kugombea nafasi za Uongozi na kwamba huko wanakopewa hifadhi Kwa kibaraka wa beberu Kenya Kuna wasomi sana.
Haya Sasa Chadomo mnaitwa huku mje kujiona mlivyo mbumbumbu na kuaibika.
View attachment 3657491
Mbona Tanzania ni darasa la sita pia? Tumewaiga wakenya.Kumbe Bora na Tanzania 😆😆
Kwamba ungesoma Kenya kiwango chako Cha upumbavu kinheoungua ama?unajua hawa watu wa ujinga wa kuzaliwa nao ndugu yangu. Mtu anaamua kujithihirisha alivyo mjinga mbele ya kadamnazi. Kenya grade3 ndo form 1 ya ccm
Sio yeye aliyeamua ni mahakama ya juu nchini Kenya. Muwe munasoma taarifa na kuelewa.Wajuaji wanasumbua sana,, na siasa ni kupanga watu kwahiyo wajinga wakiwa wengi utawaongoza vizuri... Na akirudi term ya 2 hao darasa la 8 watampa miaka mingine 14 ya miaka 7 per term anayoitaka..
Dau la Professor Mhongo na Baba Level/Babu Tale hayawezi kulingana..
Kwa nini iondoe degreeNi mahakama ndio iliamua
Ilisema ni kinyume cha katiba Ina wanyanyapaa wasiokuwa na degree au ambao hawakupata fursa ya kuwa na degree.Kwa nini iondoe degree
Sasa nchi yenyewe asilimia kubwa ya watu hawana degree, hamuoni kuwa degree kuwa kigezo ni kuminya demokrasia?My Take
Ikumbukwe Machadema Huwa yanaponda Mfumo wa sheria za Tanzania na kuwaponza CCM kwamba wanaruhusu darasa la saba Kugombea nafasi za Uongozi na kwamba huko wanakopewa hifadhi Kwa kibaraka wa beberu Kenya Kuna wasomi sana.
Haya Sasa Chadomo mnaitwa huku mje kujiona mlivyo mbumbumbu na kuaibika.
View attachment 3657491
TULIKUTUMA UKIMBIE SHULE?My Take
Ikumbukwe Machadema Huwa yanaponda Mfumo wa sheria za Tanzania na kuwaponza CCM kwamba wanaruhusu darasa la saba Kugombea nafasi za Uongozi na kwamba huko wanakopewa hifadhi Kwa kibaraka wa beberu Kenya Kuna wasomi sana.
Haya Sasa Chadomo mnaitwa huku mje kujiona mlivyo mbumbumbu na kuaibika.
View attachment 3657491
Mkuu fuatilia vizuri, Kenya ina mifumo imara sana ya vurugu na machafuko. Ambapo kwa kiasi kikubwa wanapambana mfumo huo usambae Afrika Mashariki yote.Kenya Ina mfumo upi imara wa kuzidi Tanzania na hao ndio tunawasulihisha Kila mara wakipigana? Tunawapa chakula Cha njaa,hawana umeme Kila kitu hawana.
My Take
Ikumbukwe Machadema Huwa yanaponda Mfumo wa sheria za Tanzania na kuwaponza CCM kwamba wanaruhusu darasa la saba Kugombea nafasi za Uongozi na kwamba huko wanakopewa hifadhi Kwa kibaraka wa beberu Kenya Kuna wasomi sana.
Haya Sasa Chadomo mnaitwa huku mje kujiona mlivyo mbumbumbu na kuaibika.
View attachment 3657491
Matusi ya nini sasa mkuu na kwa matusi hayo basi ni wazi sisi kielimu tumeachwa! Sio tu la sita ya Kenya imeizidi la 7 ya Tanzania Yani kiufupi la 3 ya Kenya ndo la 7 ya Tanzania kwanza hamjui kujenga hata hoja mnaropoka tu wajinga nyinyiKwa hiyo wewe Ukiwa na darasa la sita la Kenya na Mimi la Saba la Tanzania wewe una Elimu kubwa na Bora au?
Kwamba degree ya Kenya inakuwa ni Elimu kuliko degree ya Tzn au?
Wewe ni mpumbavu kama kawaida ya machadomo mlivyo.
Tatizo sisi CCM hizi elfu 20 tunazolipwa posho za kuishambulia CDM basi tunawashambulia hata kwa vitu halisi ambavyo hata sisi tunaona wapo sahihi basi tu ni njaa ndo zinatufanya tuwapinge CDMunajua hawa watu wa ujinga wa kuzaliwa nao ndugu yangu. Mtu anaamua kujithihirisha alivyo mjinga mbele ya kadamnazi. Kenya grade3 ndo form 1 ya ccm
We fala mambo vipiLabda huko CHADEMA ndio mpo Mambumbumbu ambao hamuwezi kufungua katiba
hata sio njaa ni ujinga wa kujizima data tu. Yaani kabisa unaona hili ni jiwe lakin mtu anataka ukubali kwamba n mti. Tena ukibisha anakunyooshea mtutu. Wajinga sana.Tatizo sisi CCM hizi elfu 20 tunazolipwa posho za kuishambulia CDM basi tunawashambulia hata kwa vitu halisi ambavyo hata sisi tunaona wapo sahihi basi tu ni njaa ndo zinatufanya tuwapinge CDM