Pre GE2025 Nchi ambayo habari kubwa ni za kuwania kugombea nafasi za uchaguzi, ni "Failed State". Aibu ya Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tuko mwaka wa uchaguzi, mumekata tamaa na kukosa mgombea wa kushindana na Samia 😆😆
🤣🤣🤣🤣 waluteri zamu yenu lini?

Nchi inayumba. Ukijitangaza kutaka kuchukua fomu ndani ya chama jinamizi umejikatia tiketi ya kifo🤣
 
Imagine umeme ni tatizo kubwa sana kwa sasa linakaribia kufilisi nchi lkn kuna watu wanacheka cheka majukwaani wakizungumzia chaguzi sijui za lini shame on you
Lakini Hangaya anasimama kuliambia Taifa kuwa uchumi umekua. Umeme anachukulia kama issue ndogo na itapita
 
🤣🤣🤣🤣 waluteri zamu yenu lini?

Nchi inayumba. Ukijitangaza kutaka kuchukua fomu ndani ya chama jinamizi umejikatia tiketi ya kifo🤣
Sasa Samia anawezaje kujikatia tiketi ya kifo wakati yeye ndio ameshika panga?

Alitangaza since ameingia madarakani baada ya uzushi wa ooh eti hatogombea na blaa blaa kama hizo.

Wathubutu waone 🔥🔥 , uzuri ccm wote wanaimba Samia akiwemo mwenye Chama Kinana.

Hao wengine ni sawa wakipinga Kwa sababu ni upumbavu kulazimisha Kila mtu akukubali.

Mwendo ni ule ule kama WA Kwa Felix Tshisekedi 🔥🔥

Mwisho Mimi sisali makanisa yenu hayo ya 🌈🌈
 
Yeye ndo anayewakata panga wenzake. Chukua fomu kugombea naye ndani ya chama uone
Alitangaza since ameingia madarakani baada ya uzushi wa ooh eti hatogombea na blaa blaa kama hizo.

Wathubutu waone 🔥🔥 , uzuri ccm wote wanaimba Samia akiwemo mwenye Chama Kinana.
Mnategemea vikongwe wawavushe maana mnajua kabisa hamkubaliki
Hao wengine ni sawa wakipinga Kwa sababu ni upumbavu kulazimisha Kila mtu akukubali.

Mwendo ni ule ule kama WA Kwa Felix Tshisekedi 🔥🔥
Tunafahamu kwa dhati kwamba CCM haina mkakati wowote wa kulisaidia Taifa zaidi ya kusalia madarakani wapate kula na kuvimbiwa
Mwisho Mimi sisali makanisa yenu hayo ya 🌈🌈
CCM ni kiwanda cha uongo. Na wewe ni zao lake. Sisi tunajua cucrack codes haujifichi mzee wa kwenye mawe
 
Kwa nchi yetu, kazi mbili ndiyo zinalipa kiulainii.
1. Siasa
2. Makanisa - tena hasa haya ya binafsi ni hatariii, ogopaaaa.
 
Nachokiona kingine Tanzania ni unafiki mkubwa na roho mbaya za viongozi wa Tz kwa kuendelea kukitumia Kiswahili kama lugha ya kufundishia katk elimu ya msingi huku watoto wao karibu wote pamoja na watoto wa wenye ahueni ya kiuchumi na watt wa matajir wakipeleka watoto wao ktk shule za English medium,au international ,au nje ya nchi wakisoma kwa kutumia lugha ya kiingereza kuanzia chini kbs,(nursery),huu ni unafiki mkubwa sn,nimesoma mtaala wao mpya bado wanasisitiza kuwa lugha ya kufundishia itakuwa kiswahili shule za msingi,hii ni aibu nchi inahitaji watawala wapya
 
Unaona wengine wameanza kuwaandaa watoto wao bado wadogo wanavishwa magwanda ya Chama ili waje wapokee vijiti !!
 
Back
Top Bottom