situjadiriane
Member
- Jan 5, 2023
- 41
- 49
Sasa ni wazi kuwa katika ukanda Wa maziwa makuu Tanzania ndio nchi yenye viongozi Bora siasa safi.
Hakuna mtu anayeweza kubisha juu ya hili.nchi hii sasa inafaa kwa kuishi
Tanzania Ya sasa ina mpa kila mtu na fasi ya kuishi bila Hofu. Ulinzi umeboreshwa kwa kila mtu.shule hospital misikiti makanisa yako kila mahari
Miundo mbinu iko salama.maji umeme simu kila Kona
Ongera selikari ya Tanzania kwa uongozi bora