Nchi gani Afrika ambayo inakimbiza mwenge hadi leo kama sisi?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Naomba wazee wa jamiiforums wanijibu hili swali hasa wale wenye vinasaba na CCM.

Je, ni nchi gani Afrika hasa zile za kijamaa zilizokuwa na urafiki na Mwalimu Nyerere mfano Zambia, Zimbabwe, Angola nk ambako wanakimbiza Mwenge mpaka leo?

Mbali na hilo hata bajeti ya kukimbiza chuma lile linategemea bajeti ya mishahara ya walimu maskini.

Naomba majibu wazalendo wenzangu.

Aione Erythrocyte kwenye jalada na Lucas Mwashambwa kwa kumbukumbu.
 
Akili huna badili basi hicho kichwa Cha mada Yako

Kichwa Cha mada Yako uliyoandika mwenyewe huelewi
Wewe ni mpumbavu mimj nimezungumzia afrika tu na nikataja na mifano ya nchi rafiki na nyerere na kama haitoshi nikaelezea hata namna unavyokuwa budgeted kupitia michango ya walimu na watumishi maskini hilo tu lilipasa kukujuza kwamba sizungumzii mambo ya wagiriki au olimpiki nk wewe ndio bichwa empte.
 
Nchi kibao zinakimbiza mwenge wa cholera mbona
 
Mimi nataka kujua nchi ya afrika inayokimbiza mwenge annualy kwaajili ya kufungua miradi ya kiwaki na kupitisha ajenda kama za ccm sihitaji mwenge aina ya olimpiki.
 
Mengine yapite tu . Sina hakika kama tutaweza yote isipokuwa wakati wake ukitimia maana hakuna nguvu kubwa kushinda nguvu ya wakati
 
Sio lazima tuwaige wao.
Pili mwenge umeshakuwa sehemu ya utamaduni wa mtanzania.
Relax and take a chill pill
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…