Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Naomba wazee wa jamiiforums wanijibu hili swali hasa wale wenye vinasaba na CCM.
Je, ni nchi gani Afrika hasa zile za kijamaa zilizokuwa na urafiki na Mwalimu Nyerere mfano Zambia, Zimbabwe, Angola nk ambako wanakimbiza Mwenge mpaka leo?
Mbali na hilo hata bajeti ya kukimbiza chuma lile linategemea bajeti ya mishahara ya walimu maskini.
Naomba majibu wazalendo wenzangu.
Aione Erythrocyte kwenye jalada na Lucas Mwashambwa kwa kumbukumbu.