True, hakuna haja ya kutumia pesa nyingi kutafuta sehemu ya kwenda nje ya nchi, wakati hapa kuna vivutio vingi na bei ya mwananchi, ajaribu kutembelea tour operator kwa ushauri na budget estimationUkweli ni kwamba Tanzania humu humu kuna tourist na adventurous attractions kibao.
Mleta uzi angeanzia ma utalii wa ndani.
Nenda Kisiwani MALDIVENawatakia wiki end njema membaz wote jf.
Ifikapo December 2018 napata likizo kubwa.na boss wangu kaniambia changua utanaka kwenda ukapumzike nchi gani.kiukweli nimekosa jibu la haraka nikamuomba anipe mda nifikiri wapi patanifaa. Kupitia wakuu wa humu ndani naimani nitapata sehemu sahihi ya kwenda kula laha.
Asante
Sylia? Wavaa kobazi watamfanyia kitu kibaya!Au syria
Uko wapi huu mji na mie niende? ππππ
Nikajua wajua.. mwenzio mzima hofu kwako!Uko wapi huu mji na mie niende? ππππ
Mzima lakini?
Hahaaaa. Lol. Kumbe hata na wewe huujui. Duuh.Nikajua wajua.. mwenzio mzima hofu kwako!
Asante Nafurahi kwa Ukarimu wako.Hahaaaa. Lol. Kumbe hata na wewe huujui. Duuh.
Basi tusimshauri mleta uzi akaenda huko. ππππ
Haya uwe na mchana mwema. Wasalimie huko.
πππππAsante Nafurahi kwa Ukarimu wako.