Nchi gani tofauti na Tanzania baadhi ya raia wake wanafurahia polisi kutoa kipigo kwa raia wengine karne hii?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Bongo ina maajabu yake.

Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii.

Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.
 
Bongo ina maajabu yake.

Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii. Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.
Kwahiyo una maoni gani juu ya hilo!
 
Hatutaki watu wanaochezea amani na uhuru wetu.
Mliandamana kwa amani mkapewa ulinzi.
Mkaanza kupanda mabega na slogan za kihaini ndio wananchi wakawashtukia kwamba lengo lenu ni madaraka na maslahi tu.
Mngengoja uchaguzi muanze slogan zenu.
Mlipokuwa na lengo zuri mliandamana bila tatizo.
 
Bongo ina maajabu yake.

Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii. Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.
Inashangaza sana...humu watu hufurahia hata maovu yakiwapata mahasimu wao wa kisiasa.
 
Mkuu hao sio raia wa kawaida. Wanaitwa PRAISE TEAM au MISUKULE, wenyewe wanafuata chochote boss wao atachosema. Ndio maana Magufuli alipofungia shughuli halali za kisiasa walishangilia na Samia alipofungulia wanashangilia pia.

Saivi anapiga marufuku maandamano wanashangilia na siku akiruhusu watashangilia pia. Hakuna uhitaji wa Degree kutambua hapo unadili na MISUKULE ya Lumumba.
 
Nchi nyingi tu zina "praise team" au "misukule" mfano Kenya, Marekani, Russia, China n.k lakini huwezi kuwaona wakishadadia, wakichekelea au wakifurahia polisi wakipiga au kunyanyasa raia wenzao kwa mambo ya kisiasa, hawa wa bongo watakuwa misukule wa kipekee.
 
Bongo ina maajabu yake.

Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii. Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.
 
Attachments

  • 20240922_155031.jpg
    20240922_155031.jpg
    99.9 KB · Views: 2
Hatutaki watu wanaochezea amani na uhuru wetu.
Mliandamana kwa amani mkapewa ulinzi.
Mkaanza kupanda mabega na slogan za kihaini ndio wananchi wakawashtukia kwamba lengo lenu ni madaraka na maslahi tu.
Mngengoja uchaguzi muanze slogan zenu.
Mlipokuwa na lengo zuri mliandamana bila tatizo.
Nitajie slogan moja ya kihaini.

Amandla...
 
Bongo ina maajabu yake.

Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii. Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.
Bila uwepo wa polisi hiki chama cha chadema kitatufikisha tusipotaka kufika kama nchi
 
Bongo ina maajabu yake.

Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii. Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.
Ina maajabu kwa kuwa hata hao CDM ni wa ajabu.
 
Ulifuatilia hotuba ya Mbowe ?
Nilifuatilia kikamilifu. Nitajie jambo lolote alilosema ambalo unatafsiri kuwa ni la kiuhaini. Unaweza hata ku quote hotuba, press conference n.k. ili kuthibitisha kauli yako kuhusu " slogan ya kihaini". Moja tu.
Na sio useme " kasikilize hotuba fulani". Taja maneno yaliyotumika ambayo ni ya kihaini.

Amandla...
 
Back
Top Bottom