Nchi gani tofauti na Tanzania baadhi ya raia wake wanafurahia polisi kutoa kipigo kwa raia wengine karne hii?

Nchi gani tofauti na Tanzania baadhi ya raia wake wanafurahia polisi kutoa kipigo kwa raia wengine karne hii?

Hatutaki watu wanaochezea amani na uhuru wetu.
Mliandamana kwa amani mkapewa ulinzi.
Mkaanza kupanda mabega na slogan za kihaini ndio wananchi wakawashtukia kwamba lengo lenu ni madaraka na maslahi tu.
Mngengoja uchaguzi muanze slogan zenu.
Mlipokuwa na lengo zuri mliandamana bila tatizo.
Kenge wewe
 
Kuna tatizo tu la uelewa nchi hii na zingine zinazoendelea, Polisi hatakiwi kupiga raia hii mbona iko wazi.

Polisi hawakupelekwa course kwaajili ya kupiga raia. Kukamata sio sawasawa na kupiga. Primarily kazi ya polisi ni kufanya nini? Kupiga?

Wanaosupport ni either wajinga sana, au wenye maslahi yao, au wenye ndugu na jamaa polisi, ambao wanaishi kwa hisani yao na hawana namna zaidi ya kuwa polisi ili waishi.

Hakuna kiongozi wa nchi mwenye mtoto polisi.
 
Kuna tatizo tu la uelewa nchi hii na zingine zinazoendelea, Polisi hatakiwi kupiga raia hii mbona iko wazi.

Polisi hawakupelekwa course kwaajili ya kupiga raia. Kukamata sio sawasawa na kupiga. Primarily kazi ya polisi ni kufanya nini? Kupiga?

Wanaosupport ni either wajinga sana, au wenye maslahi yao, au wenye ndugu na jamaa polisi.
Raia akileta fujo na kuhatarisha amani inabidi nguvu itumike kurejesha amani na utulivu.
 
Bongo ina maajabu yake.

Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii.

Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.
Ni vizuri zaidi virungu vikaendelea kutumika kikamilifu, katika kuwadhibiti na kuwadhoofisha wahalifu makaidi na jeuri, waliojizatiti kuleta fujo na kuvuruga amani na utulivu wa wananchi maeneo malimbali nchini 🐒
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Wewe Profesa ingiza kichwa barabarani utapata jibu au endelea na kuwa keyboard warrior. Hiyo ndio saizi yako.
Umepaniki bure tu, Mimi siandamani sababu nina mengi ya kufanya, my concern is polisi hatakiwi kupiga raia ambaye hana hata jiwe.

Kuandamana mmeandamana ninyi toka siku 4 nyuma.
 
Bongo ina maajabu yake.

Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii.

Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.
Hakuna nchi kama hiyo.

Pia hata mfano wako wa Marekani na Afrika Kusini enzi ya ubaguzi wa rangi hakuna raia ambae alifurahia udhalimu wa polisi isipokuwa wale walokuwa ni wazungu wenzao.

Nimekuwa nikieleza mara kwa mara humu JF, kwamba ipo shida kubwa ndani ya Upinzani na kurekebisha shida hiyo kwahitajika stratejia mpya kabisa.

Isitoshe Upinzani wenyewe hauhusishi vyama vyote vya upinzani si NCCR, ACT wazalendo wala vingine na badala yake mamlaka imewachagua Chadema (singled out) kuwa ni wa kuwashughulikia.

Moja ya kufeli kwa stratejia hiyo ni kuandaa maandano ya amani badala ya maandamano yenye vimelea vya kusababisha kuwepo na vurugu.

Mimi ningekuwa waziri wa mambo ya ndani ningewashauri polisi kushirikiana na waandaaji maandamano ili wafikishe ujumbe lakini pia kuwepo utulivu.

Katika mazingira ya sasa yenye kujaa sintofahamu kubwa polisi kuteka raia na wasijukikane waliko na upinzani khasa Chadema kuhoji, ni vigumu kwa polisi kuruhusu maandamano.
 
Tunatakiwa tuandamane kupinga kodi kandamizi, ukosefu wa ajira,gharama za maisha kuwa juu ila sio kuandamana kisha mwanachama wa chama flani amekatwa namwengine kufa tena tunaandamana tukiwa na bendera ya chama na sare asa ayo ni maandamano ya chama au ya nchi!!! Na ndo maana baadhi ya watu wanafurahia polisi wakitoa kochapo
Kwani lazima wote muandamane kwa jambo moja?? Kila mtu si anaandamana kwa kile anachoona ni sahihi kwake, wewe kama unaona haikuhusu au haijakugusa achana nao tu, kuna haja ya kuhamasisha ukatili dhidi yao?
 
Umepaniki bure tu, Mimi siandamani sababu nina mengi ya kufanya, my concern is polisi hatakiwi kupiga raia ambaye hana hata jiwe.

Kuandamana mmeandamana ninyi toka siku 4 nyuma.
At least una akili ya kuendea chooni.Uchochezi sio lazima ubebe jiwe.Rwanda walianza hivi hivi kauli za uchochezi na walipozinduka it was too late.
Visababishi vya kuleta vurugu huanza kwa kauli matendo hufuata.Kwa hiyo kutokubeba mawe sio kisingizio cha kutohamasisha vurugu.Najua na uprofesa wako umeelewa.
 
Upolosi ni kazi ya wasio na akili…. roughly nimemnukuu Simbachawene.

Adhabu ya uchochezi ni kupigwa virungu?

Tunawashukuru kwa kuwasaidia waTz kuandamana. Thank you for your service, Sir!
 
Upolosi ni kazi ya wasio na akili…. roughly nimemnukuu Simbachawene.

Adhabu ya uchochezi ni kupigwa virungu?

Tunawashukuru kwa kuwasaidia waTz kuandamana. Thank you for your service, Sir!
Ndio maana nilitoa tahadhari kwamba nadhani una akili hata ya kuendea chooni.
Kuzuia maandamano yanayolenga kuleta uchochezi ndio lengo.Na hili limefanikiwa.Viongozi wa Chadema na wanachama wao 14 wanaisadia Polisi kwa kujaribu kuandamana.
 
Bongo ina maajabu yake.

Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii.

Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.
kuzimu labda
 
Uko sahihi sana, huwezi kushangilia binadamu mwenzio mtanzania mwenzio eti amekamatwa au amepigwa kwasababu alitaka kuandamana kudai haki zake fulani fulani.
 
Kosa la kwanza ni ile mentality ya kwamba Polisi sio Raia.., tukishajiwekea kwamba hawa ni watanzania wenzetu / wananchi na ndugu zetu nadhani huku hatutafika...
1727093465085.png

1727093523043.png
 
Bongo ina maajabu yake.

Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii.

Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.
ni bongo tu na wapigwe tuu sanaaa ili siku nyingine wasirudie kuandamana wanatafuta nini?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Ndio maana nilitoa tahadhari kwamba nadhani una akili hata ya kuendea chooni.
Kuzuia maandamano yanayolenga kuleta uchochezi ndio lengo.Na hili limefanikiwa.Viongozi wa Chadema na wanachama wao 14 wanaisadia Polisi kwa kujaribu kuandamana.
Watu wameitisha maandamano na wameomba kibali polisi na wameomba polisi kuwalinda, bado tu walikuwa na lengo la kuleta uchochezi. Uchochezi ni kauli ya kisiasa acha kulitumia ndivyo sivyo.

Unaweza kuta najadili na mtu ambaye hata hajui lengo la maandamano lilikuwa ninini, masikini ya Mungu umeamuriwa tu ubebe silaha na kuzagaa barabarani, kwani una option?

Point yangu ile ile, Polisi hamtakiwi kupiga raia, Siku mkiacha kuifanya polisi kuwa kazi ya kijuha hata wana siasa wataleta watoto wao huko mpige jaramba pamoja.

Kwasasa ni umoja wa darasa la saba na form 4 failure. Ndio maana kuelewa mambo madogo tu ni mtihani!
 
Back
Top Bottom