Nchi gani tofauti na Tanzania baadhi ya raia wake wanafurahia polisi kutoa kipigo kwa raia wengine karne hii?

Nchi gani tofauti na Tanzania baadhi ya raia wake wanafurahia polisi kutoa kipigo kwa raia wengine karne hii?

Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.

Hakuna haja ya kuwatetea wapumbavu wasiojitambua.

Watanzania ni wakuhujumiwa, kuibiwa, na kuwaacha na mashida yao yawapige kisawasawa mpaka pale akili zitakapo funguka.

Yani unapiga tozo, kodi, unaminya haswa, Mpaka maji waite Mmaa! Wenyewe wataingia barabarani.
 
Bongo ina maajabu yake.

Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii.

Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.
wengine wanafurahia kuuwa kabisa watu lakini uckichukuwa uhai wa mtu kwa damu na uhai wako utachukuliwa na mwanadamu kwa damu
 
Kumkomboa Mtanzania ni kazi ngumu hata Uhuru tulipewa Mezani baada ya Mkoloni kuona kuwa anaweza kutawala milele.

Tulipewa Uhuru hatukugombania Uhuru kama wenzetu MAU MAU.
 
Bongo ina maajabu yake.

Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii.

Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.
Hilo ni kipimo cha ufaham mdogo na elimu (kama wanayo) ambayo haikuwasaidia.
 
Ni matokeo ya kauli chafu au za kubeza mnazotoa kwa makundi ya watu au jamii wanaodhihakiwa.

Walimu - mnaowaita mazuzu eti wanaisadia CCM kuiba Kula.

Wasuk*ma/kanda ya Ziwa - Mliowatukana na kuwakashifu kipindi cha JPm

Pwani/Waislam - Wavaa kobazi
Polisi - Mnaowakejeli kila siku

Baadhi ya Madhehebu- hasa wasikubaliana na itikadi zenu wanaambulia matusi na kejeli.

Kizazi cha 2000 - mnakiita mambumbu,hawana akili,kutwa kuonyesha makalio huku mkisifia vijana wa Kenya.

Kanda ya Kati - Mnawakebehi pia
Haya makundi ndio yanashadadia na kufurahia raia wenzao kupigwa au kutaabishwa na polisi katika harakati zao za kisiasa?
 
kwamba umeshakaa kwenye inchi zote duniani unawajua raia zake au umeshafanya utafiti inchi ngp?
Rudia kusoma kichwa cha uzi kwanza na uzi mzima pia.
Kama kuna nchi nyingine ya aina hiyo usisite kunijuza pia, ulimwengu una mengi ya kustaajabisha.
 
ni culture ya tanzagiza, mwenye nguvu humpiga dhaifu, utaona kila mahali, mwwnye nguvu ndiyo hupanda daladala, nyumbani baba hula kabla ya watoto, mwanajeshi akitoka tu mafunzoni breki ya kwanza mtaani kupiga raia kuonyesha ubabe, kwa kifupi tanzagiza ni jungle wanyama ndiyo huishi hivyo mwenye nguvu hupiga dhaifu, masokwe yako hivyo, fikiria mkuu wa polisi anasema mtakiona cha mtemakuni anamaanisha nini? kwa kawaida anapaswa kukamata mtu kama kafanya kosa na kumfikisha mahakamani lkn nope, wanapiga kwa sababu wana nguvu.

sababu KUU ni kwamba Christianity haishwi tanzagiza ndiyo maana, watu ni animalistic …
 
Bongo ina maajabu yake.

Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii.

Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.
Ebu tuachane kwanza na hao Watanzania waliocheka na kufurahia.

Wewe kama Mtanzania umechukua hatua gani kuhusu jambo la POLISI kukamata ovyo, kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia?
 
Watanzania wengi wana matatizo ya akili, nadhani kama 95%!
 
Ebu tuachane kwanza na hao Watanzania waliocheka na kufurahia.

Wewe kama Mtanzania umechukua hatua gani kuhusu jambo la POLISI kukamata ovyo, kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia?
Ulitaka nichukue hatua gani kwa mfano??
 
Bongo ina maajabu yake.

Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii.

Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.

"Njia pekee ambayo Wananchi wataitumia katika kuzungumza au kujadiliana na Watawala wao ambao ni madikteta ili kufikia muafaka wenye maslahi kwa pande zote mbili ni kwa kupitia mtutu wa bunduki."

Jeff's O'Brien.
 
Back
Top Bottom