Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃😃😃😃kama hupendi amani bora uhamie huko mkuu labda utakuwa unasumbuana na ma_ M23 mipakaniTuhamie Burundi
Mbona wewe umeshindwa kuitumia? 🤣🤣🤣🤣
Upuuzi kama huo hauwezi kutokea 🇹🇿,nyie ni bakora tuu
View: https://x.com/Kipanga1986/status/1838195046467645818?t=MAu17qF7lsVEEn9Iw90tcQ&s=19
Na bado kuna manabii wanawapiga , wapigwe tu mpaka wawe vichaa .Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.
Hakuna haja ya kuwatetea wapumbavu wasiojitambua.
Watanzania ni wakuhujumiwa, kuibiwa, na kuwaacha na mashida yao yawapige kisawasawa mpaka pale akili zitakapo funguka.
Yani unapiga tozo, kodi, unaminya haswa, Mpaka maji waite Mmaa! Wenyewe wataingia barabarani.
Dharau kama hizi na kejeli ndio maana mnapuuzwa na majority ya mnaowaita wana matatizo ya akili.Watanzania wengi wana matatizo ya akili, nadhani kama 95%!
Kupuuza au Kupuuzwa sio tatizo,Dharau kama hizi na kejeli ndio maana mnapuuzwa na majority ya mnaowaita wana matatizo ya akili.
Cha ajabu mnakuja tena kuomba kura kwa hao wenye matatizo ya akili.
Ukatili upi umeshadadiwa au kushangiliwa?Maandamano yamepigwa marufuku.Hukubaliani na hlio nenda Mahakamani.Kupuuza au Kupuuzwa sio tatizo,
Tatizo ni kushadadia na kushangilia ukatili.
Tumbo likishiba akili inasinzia.
Tatizo la chadema kukosa uongozi makini,Mhe Lowassa alishawaasa aache siasa za uanaharakati haziwezi kuwafikisha kuchukua dolaPole yako Sana, kwanza kabisa niseme tu kwamba Mimi sipo huko unakoninasibisha nako. Mimi ni mtu huru mwenye mitazamo huru katika fikra.
Mbili, napenda kukujulisha kwamba Mimi binafsi tangu awali nilikuwa na mtizamo tofauti kabisa na hiyo dhana ya kufanya maandamano waliyonayo Watu wa Chadema, kama ukifuatilia comment zangu za siku chache zilizopita kuhusu suala hili utabaini wazi kabisa kuwa Mimi nimekuwa nikipingana na wazo la kufanya maandamano kama ambavyo mpango wa Watu wa Chadema ulivyo. Endapo kama utakuwa siyo mnafiki, utaona kwamba Comment zangu nyingi Sana ukizifuatilia utaona kuwa nilikuwa sikubaliani na wazo lao hao Watu wa Chadema kuhusu kufanya maandamano, kwa sababu kwa maoni yangu ni kwamba maandamano siyo suluhu ya kudumu juu ya matatizo wanayolalamikia.
siasa za kumtoa mkoloni huwezi fanikiwa kwenye mazingira hayaSiasa za uanaharakati zina shida gani ukiacha huko kushindwa kuwafikisha kuchukua dola??
Kwani lengo la siasa za uanaharakati ni nini?Kama unaharakati umeshindwa kuleta tija inayokusudiwa inabidi ubadilishe mbinu.Siasa za uanaharakati zina shida gani ukiacha huko kushindwa kuwafikisha kuchukua dola??
Mkoloni ni nani?Hizo lugha za kijinga ndio zinasababisha wengi wanawapuuza na kushangilia mkipewa kibano.siasa za kumtoa mkoloni huwezi fanikiwa kwenye mazingira haya
Kibano na nani tena?Mkoloni ni nani?Hizo lugha za kijinga ndio zinasababisha wengi wanawapuuza na kushangilia mkipewa kibano.
Badilikeni.
Umeelezea kwa kifupi, lakini sahihi kabisa.Ni proven fact, majority ya watanzania wana uwezo mdogo wa kuchanganua mambo, hawajui ya muhimu yapi, ya kijinga yapi ilimradi wameshiba mihogo n energy drinks, wamebishana kuhusu simba na yanga, wamebeti, Jux katoka na nani, wapi kuna mafuta ya upako na wapi kuna mganga...
Hata kuwapigania ni kupoteza tu mda wako
Mkuu haya unayoyaona bongo polisi kukamata upinzani ndio haya haya yalikuwa enzi za mandela katika kutafuta haki, uko kusini mwa afrika. Kaiyo kuna siku hali itakuwa shwari na kitakuwa na usawa pande zote mbili. Ni suala la muda tuuBongo ina maajabu yake.
Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii.
Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.