FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Israel.Bongo ina maajabu yake.
Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii.
Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.