Kwahiyo una maoni gani juu ya hilo!Bongo ina maajabu yake.
Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii. Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.
Inashangaza sana...humu watu hufurahia hata maovu yakiwapata mahasimu wao wa kisiasa.Bongo ina maajabu yake.
Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii. Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.
Nchi nyingi tu zina "praise team" au "misukule" mfano Kenya, Marekani, Russia, China n.k lakini huwezi kuwaona wakishadadia, wakichekelea au wakifurahia polisi wakipiga au kunyanyasa raia wenzao kwa mambo ya kisiasa, hawa wa bongo watakuwa misukule wa kipekee.Mkuu hao sio raia wa kawaida. Wanaitwa PRAISE TEAM au MISUKULE, wenyewe wanafuata chochote boss wao atachosema. Ndio maana Magufuli alipofungia shughuli halali za kisiasa walishangilia na Samia alipofungulia wanashangilia pia.
Saivi anapiga marufuku maandamano wanashangilia na siku akiruhusu watashangilia pia. Hakuna uhitaji wa Degree kutambua hapo unadili na MISUKULE ya Lumumba.
Bongo ina maajabu yake.
Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii. Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.
Vibaraka wa Wazungu hawapaswi kuonewa hurumaBongo ina maajabu yake.
Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii. Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.
Nitajie slogan moja ya kihaini.Hatutaki watu wanaochezea amani na uhuru wetu.
Mliandamana kwa amani mkapewa ulinzi.
Mkaanza kupanda mabega na slogan za kihaini ndio wananchi wakawashtukia kwamba lengo lenu ni madaraka na maslahi tu.
Mngengoja uchaguzi muanze slogan zenu.
Mlipokuwa na lengo zuri mliandamana bila tatizo.
Bila uwepo wa polisi hiki chama cha chadema kitatufikisha tusipotaka kufika kama nchiBongo ina maajabu yake.
Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii. Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.
Ulifuatilia hotuba ya Mbowe ?Nitajie slogan moja ya kihaini.
Amandla...
Mimi siendi kokote nalala milango wazi nchi yangu ina usalama mwingi sana!Tuhamie Burundi
Ina maajabu kwa kuwa hata hao CDM ni wa ajabu.Bongo ina maajabu yake.
Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii. Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.
Nilifuatilia kikamilifu. Nitajie jambo lolote alilosema ambalo unatafsiri kuwa ni la kiuhaini. Unaweza hata ku quote hotuba, press conference n.k. ili kuthibitisha kauli yako kuhusu " slogan ya kihaini". Moja tu.Ulifuatilia hotuba ya Mbowe ?