Nchi gani ya SADC naweza kwenda kutafuta maisha na nikatoka kwa mtaji huu?

Nchi gani ya SADC naweza kwenda kutafuta maisha na nikatoka kwa mtaji huu?

Sina uhakika ndugu coz Niko nnje ya bongo muda Sasa ila kama Hilo swala uko seriously nalo basi nenda kariakoo au soko lolote kubwa, mtafute dalali mmoja, mtoe lunch Kisha muulize hizo details zote nina uhakika utapata information za kutosha na maybe utaleta mrejesho hapa.
Umewahi kuifanya hiyo biashara?
 
Back
Top Bottom