Nchi haina sukari, maji, umeme na dola

Utakuta hata Mr Rais nae hajui afanyeje.
 
Iposiku tutakosa hadi pumzi na tutakufa kifala sana
 
Bado kidoooogo, hata wao wataendelea kuwa nazo ila hawana cha kununua!
 
Na ndoa njema za kudumu zimeadimika
 
• Aliye zungumzia vyeti fake nani???
• Ninacho mlaumu aliharibu kupeleka nyumbu pale bungeni....

Sijui umenielewa mwana FISI EMU.
Kwa hiyo wangekuwepo hao wa upinzani sukari isingeadimika na kusingekuwa na mgao wa umeme?

Hivi unafahamu toka vyama vingi vinaasisiwe 1992 hakuna mswada wowote ulipelekwa bungeni ukakwama sababu ya uwepo wa wapinzani.

Hata ungepelekwa mswada wa kufuta multiparty ungepita huku wakiwemo.

Mnatumia viungo gani kufikiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…