Nchi haishi vituko hii: Raul Ganzalez kutua Azam fc

Nchi haishi vituko hii: Raul Ganzalez kutua Azam fc

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
| Nahodha wa zamani wa Real Madrid na mshambuliaji bora wa zamani wa Madrid Raúl González Blanco 🇪🇸 ni miongoni mwa makocha waliotuma maombi ya kuinoa Azam FC 🇹🇿.

=====

Former Real Madrid captain and Madrid's best ever forward Raúl González Blanco 🇪🇸 are among the top coaches who have applied for Azam FC 🇹🇿 coaching job. Raúl is the current manager of Real Madrid Castilla, the reserve team of La Liga club Real Madrid.
20211217_034211.jpg
 
Kama unazo hela hakuna kinachoshindikana.
Msisahau bara la Afrika kwa sasa linaye kocha Roger Remerre aliyeipa taji la EURO 2002 nchi ya Ufaransa.

Remerre kwa sasa anakinoa kikosi cha Etoile du Sahal baada kuziongoza timu za mataifa ya Tunisia na Morocco kwa nyakati tofauti.
Hakuna namna, makocha wengi watakuja kufanya kazi Afrika.
 
Kama una hela hakuna kinachoshindikana.
Msisahau bara la Afrika inaye kocha Roger Remerre aliyeipa taji la EURO 2002 Ufaransa.

Remerre kwa sasa yupo na kikosi cha Etoile du Sahal baada kuziongoza timu za mataifa ya Tunisia na Morocco kwa nyakati tofauti.
Hakuna namna, makocha wengi watakuja Afrika tu.
Pesa tu
Hata Cluvert aliwahikuifundisha Cameron
 
Yan mrithi wa Los blankos kocha wa castila aje bongo land
 
Sasa kocha anayefundisha timu ya reserve timu ambayo hata mechi hazionyeshwi kwenye TV zaidi ya highlights itakua na ajabu gani akija kufundisha timu ya ligi kuu Tz?
 
Sasa kocha anayefundisha timu ya reserve timu ambayo hata mechi hazionyeshwi kwenye TV zaidi ya highlights itakua na ajabu gani akija kufundisha timu ya ligi kuu Tz?
Zidane alitokea kwenye hiyo reserve team akawa Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza, unajua kilichotokea baada ya hapo.
Hata hivyo Raúl hana huo muda wa kufanya application ya kuinoa Azam, msimu uliopita team kibao ziliomba huduma yake sio yeye aliomba ila alikataa kwasababu ana lengo moja tu kuja kuifundisha Real Madrid.,
 
| Nahodha wa zamani wa Real Madrid na mshambuliaji bora wa zamani wa Madrid Raúl González Blanco 🇪🇸 ni miongoni mwa makocha waliotuma maombi ya kuinoa Azam FC 🇹🇿.

=====

Former Real Madrid captain and Madrid's best ever forward Raúl González Blanco 🇪🇸 are among the top coaches who have applied for Azam FC 🇹🇿 coaching job. Raúl is the current manager of Real Madrid Castilla, the reserve team of La Liga club Real Madrid.
View attachment 2046852
Popote penye hele msaka hela anatakiwa kuwepo
 
Back
Top Bottom