Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Labda Erikson wa kwa MpalangeKwani Utopolo Wana Matatizo gani jamani???? wao wakiwa wanatafuta kocha huwezi kusikia majina makubwa kama hayo wakihusishwa nayo!
unakumbuka Simba Hadi Sven-Goran Erkssen alitamani kuja Simba kufundisha kabumbu???