mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Aje aiseee namba tisa ya ukweli ya zama zake
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28],usigune mkuu,Azam wana [emoji91][emoji91][emoji91]Mmmh!!!
Mpunga upooTetesi za mchongo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28],usigune mkuu,Azam wana [emoji91][emoji91][emoji91]
Pesa tuKama una hela hakuna kinachoshindikana.
Msisahau bara la Afrika inaye kocha Roger Remerre aliyeipa taji la EURO 2002 Ufaransa.
Remerre kwa sasa yupo na kikosi cha Etoile du Sahal baada kuziongoza timu za mataifa ya Tunisia na Morocco kwa nyakati tofauti.
Hakuna namna, makocha wengi watakuja Afrika tu.
Hili ndo jambo la msingi.Hakuna kocha hapo
Azam wasiajiri Majina waangalie uwezo
Labda Sven-Goran Erkssen wa BonyokwaKwani Utopolo Wana Matatizo gani jamani???? wao wakiwa wanatafuta kocha huwezi kusikia majina makubwa kama hayo wakihusishwa nayo!
unakumbuka Simba Hadi Sven-Goran Erkssen alitamani kuja Simba kufundisha kabumbu???
Zidane alitokea kwenye hiyo reserve team akawa Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza, unajua kilichotokea baada ya hapo.Sasa kocha anayefundisha timu ya reserve timu ambayo hata mechi hazionyeshwi kwenye TV zaidi ya highlights itakua na ajabu gani akija kufundisha timu ya ligi kuu Tz?
Popote penye hele msaka hela anatakiwa kuwepo| Nahodha wa zamani wa Real Madrid na mshambuliaji bora wa zamani wa Madrid Raúl González Blanco 🇪🇸 ni miongoni mwa makocha waliotuma maombi ya kuinoa Azam FC 🇹🇿.
=====
Former Real Madrid captain and Madrid's best ever forward Raúl González Blanco 🇪🇸 are among the top coaches who have applied for Azam FC 🇹🇿 coaching job. Raúl is the current manager of Real Madrid Castilla, the reserve team of La Liga club Real Madrid.
View attachment 2046852