Nchi hii acheni kudekeza Wamasai. Chukueni hatua kuwaondoa kiburi

Mbons una stress sana? IQ yako ni ndogo. Kwanini unachanganya concept mbili kwenye uzi moja. Sasa tukueleweje? Unaitetea NCA au una malalamiko yako ya migogoro ya wakulima na wafugaji Moro?
Mbona una stress sana?
Hawa waajiriwa wa NCAA mna wasi wasi sana. Hamna namna, mtarudi tu kwenu kulima tangawizi na vitunguu. Hata Wamasai wakiondolewa, mtaondoka tu.
Mabadiliko yoyote ndani ya Ngorongoro yatakuja na establishment na changes mbali mbali.
Mtakufa na stress.
 
Mkuu kuwa mpole tuelewane, mbona unawachukia maasai kiasi hiko.
Vita ya wafugaji na wakulima, Masai huwa wanaua watu, wanaona watu hawana thamani zaidi ya mifugo yao..kwa wamasai bora ng'ombe kuliko binadamu. Takataka kabisa hawa watu
 
Halafu wengi wao sio Watanzania. Wengi wametoka nchi jirani.
 
Thubutuuuu...!
Wamachinga si waoga walee!
Masai washazoea milio ya risasi na hawana chakupoteza zaidi ya mifugo na malisho.

Naona PM amelisukuma bungeni
Kuna kitu kikubwa huko na siri na maslaahi ya baadhi yao
Wanalindana
 
Hahami mtu pale mnataka kuwaondoa ili muwape wawekezaji wenu eneo tulilo ridh toka enz na enzi anakuja mtu anataka kuwaondoa kwenye nature yao
 
Kiujumla wafugaji wamekuwa jeuri baada ya mfumo wa sheria na maisha ya kila siku kuwafanyia jeuri.

Eneo la malisho limegeuzwa mashamba (kwa wakulima wadogo kwa wakubwa), na hifadhi za wanyama. Ukichanganya na mabadiliko ya tabia nchi, mfugaji hana ardhi ya malisho.

Sera nyingi za maendeleo zinahamasisha ufugaji wa kisasa...bila kutilia maanani kuwa ufugaji wa asili ni utamaduni na maisha ya watu.
Sera ya kilimo, mifugo, kilimo kwanza, mkukuta nk zinahamasisha ufugaji wa kisasa...na uboreshwaji wa ufugaji wa asili kwa kupunguza mifugo na kuzuia "ufugaji holela wa kuhama hama" bila kutilia maanani asili ya ufugaji wa asili.

Ktk jamii za wafugaji wote Tanzania, hakuna jamii itakayowafikia Wamasai kwa utunzaji wa Mazingira. Nenda vijiji vyenye wamasai tu mjionee...linganisha na alipo msukuma.
 
Mmekomaa nyuma ya key boards kuandika maneno ya chuki dhidi ya wafugaji....lakini nikiuliza ni yupi kati yenu ambaye inapita wiki hajatumia zao (products) la mifugo kama nyama na maziwa.

Ikiwa umekula nyama, je unahisi ni nyama inayotokana na ng'ombe au mbuzi wa kisasa? Au ni mifugo wanaotoka kwa wafugaji wa asili!!
 
Ulikuwa na mpango wa kununua eka 20 wapi huko?
 
Ole wako wewe unayefurahia wamasai kuonewa, kwani hakuna anayejua kuwa wakishamalizana na wamasai nani atafuata?

Ilianza WAPINZANI (CHADEMA), MACHINGA, leo WAMASAI Kesho sijui kundi gani au nani.

Binafsi naiombea serikali itende haki kwa kila jambo. Rais Samia ni mtu wa haki ila kama tutakuwa washabiki tunawaza tukasababisha nchi ikaende upande usio wa haki
 
Naunga mkono hoja! Wamasai wanadekezwa sana, inakuaje mpaka leo wanaachwa wantembea mjini na marungu nasime eti utamaduni wao, utamaduni gani wakishenzi huo, hawa watu wachukuliwe hatua, haya mambo ya kujizonga zonga mashuka wapigwe marufuku wafundishwe ustaarabu wa kuvaa nguo hawa, wafundishwe ustaarabu wakuoga na kufua nguo, wachafu sana wamasai.
 
A Bitter Truth.
It Is About Time; And That Time Is NOW.
 
Mbuga ni maalumu kwa ajili ya watalii na sio sisi, swali je kuna mtalii yeyeto aliyelalamika uwepo wa masai mbugani?
 
Acha kuonea masaai kwani masai sio mutu. Masai akati miti, masai auwi nyamapori, masai achomi moto musitu. Hata jumuiya za kimataifa zipo pamoja na masai ngorongoro.
 
Acha makasiriko.

Maasai wala hata hawana shida na ndio Symbol pekee iliyobakia Tanzania inayoonyesha asili yetu...

Moja ya kivutio cha ngorongoro ilikuwa ni Hifadhi ambayo ina Binadamu na wanyama..
vivutio vina mwisho. Kuna wakati mwanadada wa South Africa alikuwa kivutio cha wazungu Uholanzi. Hiyo ilishakwisha!!! Kwa hali na uelewa wa sasa, hatuhitaji wamasai laki mbili ndani ya ngorongoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…