Nchi hii acheni kudekeza Wamasai. Chukueni hatua kuwaondoa kiburi

Hapa zaidi ya matusi umeandika nini? HAKUNA! Elimu haikutoshi ndo maana unasema Binadamu ni bora kuliko pumbav unayoijua. Binadamu anaweza kushi bila resources? Makabila mengine yaliyohamishwa uliona ni sawa, wamasai unaona wanaonewa? Foooool!
 
Kila mahali hapa Tanzania kuna hizo resources, mkiwamaliza Wamasai nani atafuatia? Hebu tujuze ''resources'' ambazo Wamasai wameharibu?
Mimi ninao uwezo wa kukueleza lakini kwanza niambie una elimu gani? Kuna mambo tunahitaji ufahamu wako ili tujue pa kuanzia.
 
Utamaduni unaonesha mnaondoa alafu mnawapa mafisadi wachache wanufaike.
Ila kwa hawa Wamasai kuweni makini. Wana command attention kubwa sana kama indigenous communities.
Unataka wamasai waendelee kuishi msituni ili wao waje kutalii? Achana na mambo ya wazungu na indegenous community, kwani Aboriginal wa Australia na Canada wanawalinda au wanawatokomeza? Native Indian wa America wapo au wanamalizwa?

Kumbuka kesi ya North Mara ilisikika sana ulaya na Canada kuliko hata hapa TZ na wengine hata kwa ufahamu wenu mdogo hamjawahi kufahamu undani wake, wakati muko hapa hapa! Leo hii muko juuu na wamasai wakati wansumbua kila kona ya nchi.
 
Unazungumzia mambo usiyoyajua.

Ya North Mara na hayo mengine nayajua kwa undani sana.

Hoja yangu mimi ni yafaa nini kuwaondoa Wamasai alafu hifadhi akapewa kaburu kujenga mahoteli ya kitalii ambayo tayari yashalundikana mle NCA?

Msimamo wangu: Wamasai watolewe na ujenzi wa mahoteli na ofisi mle NCA usitishwe.

Huo ndo utakuwa uhifadhi sasa. Tofauti na hapo mnaleta janja janja!
 
Tukimaliza wamasai kuwahamishia kenya tunakuja kufukua makaburi ya ukoo wenu kupisha ujenzi wa kiwanda kidogo cha mafuta ya alizeti.
 
WAMASAI WAHAMISHWE NA UJENZI WA HOTELI ZA KITALII,OFISI,IDADI YA MAGARI USITISHWE MARA MOJA.
 
Tungekuwa na umoja na uchungu kama huu dhidi ya wamasai kwa raslimali za taifa kama gesi,madini,fedha za umma,rushwa, n.k tungekuwa mbali sana kimaendeleo.
Lakini watanzania wengi ni wanafiki,wabinafsi,wachawi,wachuro,wenye chuki,wivu,wasengenyaji,roho ya kwanini? n.k
 
Chuki dhidi ya makabila fulani hapa Tanzania wamasai wakiwa mojawapo yalianza chini ya muasisi wa taifa hili huku kwa unafiki akijifanya nchi haina ukabila,yanaendelea kwenye sakata la ngorongoro ni udhibitisho tosha wa chuki za wazi.
 
Usichukie hoteli kujengwa, chukia uharibifu. Je, Hayo maheteli yanatishia uwepo wa wanyama? Kinachojadiliwa hapa ni wamsai wamzidi idadi ambayo sasa mbuga inageuka kuwa na wafugaji bila wanayama pori.
 
Usichukie hoteli kujengwa, chukia uharibifu. Je, Hayo maheteli yanatishia uwepo wa wanyama? Kinachojadiliwa hapa ni wamsai wamzidi idadi ambayo sasa mbuga inageuka kuwa na wafugaji bila wanayama pori.
Uharibifu wa mahoteli ya kitalii ni zaidi ya ule wa Wamasai. Ndiyo maana Masai anapotolewa hoteli nazo zitolewe.
Si unamaanisha uhifadhi, ama??
 
Ni Rasmi sasa Wamasai wanaondolewa ili mwarabu apewe eneo.
 
Ulitabili vizuri! Kudeka kumeanza. Wanaharakati nao wameingia bila hata elimu ya mazingira.
 
Uelewa mdogo ndio sababu ya wengi kutetea settlement ya Wamasai kule Ngorongoro bila kujali idadi kubwa ya hao Wamasai wanaoishi kule na madhara yake kwa Nchi.
 
Hao wamasai walikuwa wanaibukia wilaya ya Meatu kuiba mifugo miaka ya nyuma ikabidi wazee waje na propaganda nzito aka "Operesheni Tokomeza".

Ikavumishwa kwamba nyeti za masai mwanaume ni utajiri ukizipeleka kwa mganga yeyote na pia kichwa cha Moran aliyesuka ni dili.

Mpaka Bariadi ilikuwa si rahisi kukuta masai miaka hiyo kama mnavyojua ntuzu na utajiri.
 
NI WATU HALALI WA KUISHI POPOTE PALE NDANI YA NCHI HII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…