Nchi hii ni bora ukutwe na madawa ya kulevya ila sio maini ya swala

Nchi hii ni bora ukutwe na madawa ya kulevya ila sio maini ya swala

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Haya , huyu nae kala miaka 20 Jela kwa kukutwa na maini ya Swala aliyoyanunua kwa shs.1,000/=

0FC8C15F-129D-4A32-A3CC-24E4D0D64F5F.jpeg
2047E75D-42F4-4D3C-9AB6-6892668ADA2E.jpeg

Mwingine miaka 22

Mainiya swala ni moja Kati ya nyara za taifa. Adhabu yake ni 20yrs jela. Anyway kwa iyo ndugu wameshindwa kulipa m8 ?.
 
Mainiya swala ni moja Kati ya nyara za taifa. Adhabu yake ni 20yrs jela. Anyway kwa iyo ndugu wameshindwa kulipa m8 ?.
Majaliwa alikuwa anaetembelea miradi ya serikali mkoa kwa mkoa.
Ni ubadhirifu kwa kiwango cha PHD lkn hautasikia hata mmoja amefungwa.
Sasa wewe ukutwe unachoma mkaa au nyara za serikali halafu ni masikini. Utapigwa mvua za kutosha
Sheria ni kanuni na taratibu zilizotungwa kwa watu masikini tu
 
Mainiya swala ni moja Kati ya nyara za taifa. Adhabu yake ni 20yrs jela. Anyway kwa iyo ndugu wameshindwa kulipa m8 ?.
Aliambiwa ni maini ya mbuzi, hata wewe unaweza kuingizwa chaka, 8mil. ni kubwa sana kwa mtz wa kawaida.., sheria katili, mahakimu katili, chama katili, ni laana hii nchi tutalaaniwa sana kwa kuonea masikini...
 
Haya , huyu nae kala miaka 20 Jela kwa kukutwa na maini ya Swala aliyoyanunua kwa shs.1,000/=

View attachment 2809685View attachment 2809686

Mwingine miaka 22

Rekebisha post yako mkuu..

Hii inchi Bora ukamatwe kwa ufisadi na uhujumu uchumi kuliko kukutwa na nyama ya Wanyama Pori/nyara za serikali.

Watu wa madawa tumeshuhudia altleast wakipata vifungo vikubwa na sio watu wa ufisadi.
 
Najiuliza maswali sipati jibu
Ilikuwaje mpaka kukamatwa
Umetoka zako bucha kununua nyama kuna mtu atajua umenunua nyama ya aina gani au aliyemuuzia aliamua kumshikisha
na waligundua vipi hayo main niya swala
 
Back
Top Bottom