FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #21
Kinachofanyika ni kukutegeshea ili wapate rushwa, wao wanajua kabisa pale yanauzwa maini ya swala, ila nje wanaandika nyama ya mbuzi, ukinununua wanakufuatila halafu wakikukamata wanakuomba rushwa milioni 1, usipolipa ndio unapigwa miaka 22 jela. Na usikute maini yenyewe hata siyo ya swala, ila wao wakishasema ni ya swala inabidi ukubali tu, bila hata kipimo cha DNA toka kwa mkemia mkuu.Najiuliza maswali sipati jibu
Ilikuwaje mpaka kukamatwa
Umetoka zako bucha kununua nyama kuna mtu atajua umenunua nyama ya aina gani au aliyemuuzia aliamua kumshikisha
na waligundua vipi hayo main niya swala