FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kabisa, wapo wengi sana ambao hawajapata bahati ya kusikika, sheria hii ni ya mkoloni, aliiweka kukandamiza waTanganyika...Sheria itazamwe sio kuweka tu nguvu kwenye kuwakatatia rufaa mmoja mmoja
Muda si mrefu siasa haitakuwa na madili kama ilivyo sasaNtafanya kila liwezekano mwanangu aje kuwa mwanasiasa mi nshaferi
Ntolee mfano mmoja wapo mkuu ili nikaamini ukisemachoMuda si mrefu siasa haitakuwa na madili kama ilivyo sasa
Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
Majaliwa alikuwa anaetembelea miradi ya serikali mkoa kwa mkoa.Mainiya swala ni moja Kati ya nyara za taifa. Adhabu yake ni 20yrs jela. Anyway kwa iyo ndugu wameshindwa kulipa m8 ?.
Aliambiwa ni maini ya mbuzi, hata wewe unaweza kuingizwa chaka, 8mil. ni kubwa sana kwa mtz wa kawaida.., sheria katili, mahakimu katili, chama katili, ni laana hii nchi tutalaaniwa sana kwa kuonea masikini...Mainiya swala ni moja Kati ya nyara za taifa. Adhabu yake ni 20yrs jela. Anyway kwa iyo ndugu wameshindwa kulipa m8 ?.
Rekebisha post yako mkuu..Haya , huyu nae kala miaka 20 Jela kwa kukutwa na maini ya Swala aliyoyanunua kwa shs.1,000/=
View attachment 2809685View attachment 2809686
Mwingine miaka 22
Picha ya uso wa mtu aliekata tamaa ya kuishi baada ya kuhukumiwa miaka 22 Jela
Hiyo picha ni ya mdada / Mbibi anaitwa Maria, ni mjane mwenye watoto wa 4 =========================== Update: 08/11/2023 https://www.jamiiforums.com/threads/tls-kumsaidia-aliyefungwa-miaka-22-kisa-nyama-ya-swala.2156049/ ========================== Haya, huyu hapa, Anaitwa Hakimu...www.jamiiforums.com
Dah, sawaRekebisha post yako mkuu..
Hii inchi Bora ukamatwe kwa ufisadi na uhujumu uchumi kuliko kukutwa na nyama ya Wanyama Pori/nyara za serikali.
Watu wa madawa tumeshuhudia altleast wakipata vifungo vikubwa na sio watu wa ufisadi.