Ndokeji
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 698
- 476
Hali ya Amani katika nchi yetu imetoweka kabisa watu wanaishi Kwa hofu, Leo usiku saa 8 :43 Vibaka walivamia kwangu walikuwa 9 , Wakaweka Mawe Makubwa Kwenye Milango yote.
Nafuga kuku na Kanga , wakaingia Kwenye Banda la kuku, Nikasikia Kanga wanapiga kelele nikachukua slaha yangu , nikazima taa zote za nje na ndani.
Nikasikia panga zinalia kwenye Milango Harafu Jamaa wanapiga kelele Fungua mlango tukutoe kichwa , Nikafungua Dirisha nikaona Jamaa wanatoka Kwenye Banda.
Nikarudi Mlango wa pili wa kutoka ukakubali kufungua ,nikatanguliza chupa , baadaye nikachomoka natembeza mkuki kulia na kushoto sikuona aliyekuwa karibu , wakaanza kukimbia katika kukimbizana mmoja wa nyuma nikusukuma mkuki Kwa mbali ukampata , Kwenye mguu ,walikuwa wamebeba kuku 4 wakatupa mfuko Mbio, aliuchomoa mkuki , Bahati mbaya wakawa wametokomea Gizani nikaacha nao, Ila naamini Hawataru Tena Ni Huku kwetu Simiyu Bariadi
Ushauri wangu Kwa Serikali
Watu wameingia na Hofu kubwa katika Usalama wa Mali zao na Maisha, itabidi ifanye Kamata Kamata nchi nzima Hawa wasiwache salaama kill them ,Hii ni vita ya Vibaka na wananchi , Polis kazi yake ni ipi ,kama Raia wanaishi Kwa Hofu