sina maana hiyo mkuu. lakini najaribu tu kujiuliza kiuhalisia. huo muda wa kuhesabu ndo hasa penye maswali hapo mpaka na kupata idadi kamili.Kaka ulisubili usikie Kwenye vyombo vya habari wamepasua fuvu Langu ndio uamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sina maana hiyo mkuu. lakini najaribu tu kujiuliza kiuhalisia. huo muda wa kuhesabu ndo hasa penye maswali hapo mpaka na kupata idadi kamili.Kaka ulisubili usikie Kwenye vyombo vya habari wamepasua fuvu Langu ndio uamini
Hongera kijana huo ndio uanaume sasaHali ya Amani katika nchi yetu imetoweka kabisa watu wanaishi Kwa hofu, Leo usiku saa 8 :43 Vibaka walivamia kwangu walikuwa 9 , Wakaweka Mawe Makubwa Kwenye Milango yote , Nafuga kuku na Kanga , wakaingia Kwenye Banda la kuku , Nikasikia Kanga wanapiga kelele nikachukua slaha yangu , nikazima taa zote za nje na ndani ,Nikasikia panga zinalia Kwenye Milango Harafu Jamaa wanapiga kelele Fungua mlango tukutoe kichwa , Nikafungua Dirisha nikaona Jamaa wanatoka Kwenye Banda, nikarudi Mlango wa pili wa kutoka ukakubali kufungua ,nikatanguliza chupa , baadaye nikachomoka natembeza mkuki kulia na kushoto sikuona aliyekuwa karibu , wakaanza kukimbia katika kukimbizana mmoja wa nyuma nikusukuma mkuki Kwa mbali ukampata , Kwenye mguu ,walikuwa wamebeba kuku 4 wakatupa mfuko Mbio, aliuchomoa mkuki , Bahati mbaya wakawa wametokomea Gizani nikaacha nao, Ila naamini Hawataru Tena ,Ni Huku kwetu Simiyu Bariadi
Ushauri wangu Kwa Serikali
Watu wameingia na Hofu kubwa katika Usalama wa Mali zao na Maisha, itabidi ifanye Kamata Kamata nchi nzima Hawa wasiwache salaama kill them ,Hii ni vita ya Vibaka na wananchi , Polis kazi yake ni ipi ,kama Raia wanaishi Kwa Hofu
Kwani nao awaogopi kifoDu. Pole. Hata hivyo wewe ni shujaa hasa ukitilia maanani huo mkwala wa ''fungua mlango tukutoe kichwa''
Umenitangulia, storry chai hii. Alijuaje 9, na alijuaje mkuki ulimchoma kwenye mguu?!!!kama porojo vile. saa 9 usiku uliweza mpaka kuwahesabu? kwani walijikusanya sehemu moja kama maembe?
Ni muhimu kumsoma adui, kujua wako wangapi, wameji position vipi, wamebeba silaha gani. n.k ili ukifanya ambush ilete matokeo, otherwise ukiwavaa kichwa kichwa wanakuua kwelisina maana hiyo mkuu. lakini najaribu tu kujiuliza kiuhalisia. huo muda wa kuhesabu ndo hasa penye maswali hapo mpaka na kupata idadi kamili.
Acha kuisubit serikal we kamata piga uaHali ya Amani katika nchi yetu imetoweka kabisa watu wanaishi Kwa hofu, Leo usiku saa 8 :43 Vibaka walivamia kwangu walikuwa 9 , Wakaweka Mawe Makubwa Kwenye Milango yote , Nafuga kuku na Kanga , wakaingia Kwenye Banda la kuku , Nikasikia Kanga wanapiga kelele nikachukua slaha yangu , nikazima taa zote za nje na ndani ,Nikasikia panga zinalia Kwenye Milango Harafu Jamaa wanapiga kelele Fungua mlango tukutoe kichwa , Nikafungua Dirisha nikaona Jamaa wanatoka Kwenye Banda, nikarudi Mlango wa pili wa kutoka ukakubali kufungua ,nikatanguliza chupa , baadaye nikachomoka natembeza mkuki kulia na kushoto sikuona aliyekuwa karibu , wakaanza kukimbia katika kukimbizana mmoja wa nyuma nikusukuma mkuki Kwa mbali ukampata , Kwenye mguu ,walikuwa wamebeba kuku 4 wakatupa mfuko Mbio, aliuchomoa mkuki , Bahati mbaya wakawa wametokomea Gizani nikaacha nao, Ila naamini Hawataru Tena ,Ni Huku kwetu Simiyu Bariadi
Ushauri wangu Kwa Serikali
Watu wameingia na Hofu kubwa katika Usalama wa Mali zao na Maisha, itabidi ifanye Kamata Kamata nchi nzima Hawa wasiwache salaama kill them ,Hii ni vita ya Vibaka na wananchi , Polis kazi yake ni ipi ,kama Raia wanaishi Kwa Hofu
Tanga niliwahi kukutana na watoto wa ibirisi,daah noma sana hawa jamaa ila nashukuru Mungu nina skills za Boxing niliwabahatisha wawili sema waliniacha na jeraha kubwa la mkono,baada ya kukinga panga ila wao nina hakika nilivunja taya,maana nilitoa right hook za maana sana.Haya mambo ni nchi nzima, tofauti ni majina kutegemeana na eneo. Dar panya road, mikoani watoto wa mbwa, nyoka nk. Polisi wanajitajidi kupambana nao, japo wengine hugeuka informer wa vikundi vya uharifu. Yote ni matokeo ya nchi kutokuwa na mipango thabiti juu ya ajira kwa vijana. Serikali imeruhusu wengi kujificha kwenye kivuli cha umachinga, usiku wana kazi zingine.