Nchi hii raia wanaishi kwa hofu leo nimevamiwa na vibaka mkuki umenisaidia

Kaka ulisubili usikie Kwenye vyombo vya habari wamepasua fuvu Langu ndio uamini
sina maana hiyo mkuu. lakini najaribu tu kujiuliza kiuhalisia. huo muda wa kuhesabu ndo hasa penye maswali hapo mpaka na kupata idadi kamili.
 
Hongera kijana huo ndio uanaume sasa
 
Wakati nasoma huu uzi nikasema kama hili ni tukio la Dar basi Muhusika lazima kutokea kule kwa kina "bhita ni bhita Mura"....kwa bahati nikaona umemalizia ni kutoka Simiyu.
 
kama porojo vile. saa 9 usiku uliweza mpaka kuwahesabu? kwani walijikusanya sehemu moja kama maembe?
Umenitangulia, storry chai hii. Alijuaje 9, na alijuaje mkuki ulimchoma kwenye mguu?!!!
 
sina maana hiyo mkuu. lakini najaribu tu kujiuliza kiuhalisia. huo muda wa kuhesabu ndo hasa penye maswali hapo mpaka na kupata idadi kamili.
Ni muhimu kumsoma adui, kujua wako wangapi, wameji position vipi, wamebeba silaha gani. n.k ili ukifanya ambush ilete matokeo, otherwise ukiwavaa kichwa kichwa wanakuua kweli
 
Acha kuisubit serikal we kamata piga ua
 
Hilo meno HARAFU basi kwa mamlaka niliyokabidhiwa nakupa amri ukazikwe chetlley karibia na mzee
 
Tanga niliwahi kukutana na watoto wa ibirisi,daah noma sana hawa jamaa ila nashukuru Mungu nina skills za Boxing niliwabahatisha wawili sema waliniacha na jeraha kubwa la mkono,baada ya kukinga panga ila wao nina hakika nilivunja taya,maana nilitoa right hook za maana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…